Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

...yaani muda wote nilioikosa JF nimeshindwa hata kuwa productive. Kila nikijaribu kuingia napata error message, nikadhani nimepewa BAN. Nina namba ya Lizzy tu binti yangu, nikataka kuuliza...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimemsikia Ahmed Rajab leo asubuhi akihojiwa na Waziri Hamsini wa BBC. Akijibu swali juu ya mwaliko wa Kikwete toka kwa Obama kuhudhuria mkutano wa G8, mchambuzi Ahmed Rajab kasema kaalikwa kwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wengi wanaibiwa pesa zao za mtandaoni. Wezi hushirikiana na wafanyakazi wa sio waaminifu wa makampuni ya simu. WEKA HELA YAKO BANK
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Nikiwa kwenye basi juzi niliona watu kadhaa wakiwa wamevalia fulana nzuri sana zenye hii nembo, ikiwa imeandikwa kwa maandishi makubwa na mazuri. Sina hakika kama ni chama kinazitoa, au wamempa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Agenda kubwa ni kilimo,lakini kwa Tanzania imeonekana ndio nchi pekee afrika mashariki inayoongoza kuuza ardhi yake kwa nchi za kigeni. Source;BBC SWAHILI
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwaka 1958, muhasisi wa taifa letu, hayati JK Nyerere alitoa maneno mazito sana kuhusiana na ardhi ya Tanzania. Leo mataifa ya makubwai yameona bara la africa tanzania ikiwemo kuwa sehemu ambako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana jioni muda wa saa 06:30 mjambazi wenye silaha za moto na mapanga wamevamia kituo cha mafuta kilichopo Nyamongo Tarime na kufaniukiwa kupora kiasi kidogo cha fedha kutoka kwa muhudumu wa kituo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S cry:Nashukuru sana kwa uwepo wa mtandao huu wa jamii, hoja zangu ni: Hadi sasa imekuwa ni suala la kawaida kwa wenye mitandao ya simu za mikononi kuanzisha bank kama aitel money, tigo pesa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma habari kwamba ANC kule juu wamekuja juu kuhusu picha ya Zuma iliyochorwa na msanii ikionyesha nyeti za raisi huyo wa South Africa. Nikakumbuka enzi zile pale UD Mwinyi alichorwa akiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa huyu ndugu le Mutuuz inaonekane hakuna siku amesema niko kazini au ninaenda kuaandaa shamba au kufanya jambo lolote la maendeleo zaidi ya le mutuuz...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Si lahisi kuamini, lakini ndivyo ilivyo nchi hii. Na hapa Halmashauri ya wilaya Musoma imetokea. Mkurugenzi wa halmashauri hii, Bwana Karaine K.Kunei,amefanya madudu ya kufa mtu kwenye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mheshimiwa machemuli mbunge wa CHADEMA- UKEREWE. Natumai umepona ama unaendelea vema baada ya kuumizwa. Nia ni kutaka kujua kwa nini umekaa kimya namna hiyo kwani hatusikii operation vua gamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Beware G8 motives, JK, others cautioned "Currently Tanzania is satisfied with food production by its farmers, therefore, it is possible to empower them for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana Jamvi jana ktk taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku nilimsikia kiongozi Nape Nnauye akiwaeleza waandishi wa habari kuwa,mpaka sasa viongozi wa CCM waliohama ni 6 tofauti na vyombo vya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa naangalia kipindi cha Ahadi ni Deni kinachorushwa na Runinga ya ITV. Kuna mambo mawili ambayo niliyaona na kuyasikia ambayo ningependa kuwashirikisha: Kwanza, ninachoweza kusema ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo asubuhi muda wa saa moja kasoro, basi la daladala limepinduka eneo la sabasaba. Basi hilo lilikua linatoka Mbagala kuelekea wilaya ya Kinondoni na lilikua limejaa abiria. Wanajamii mna habari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona kuna ujenzi wa Bar Katika eneo la Botanic Garden ya Magomeni, Wahusika Halmashauri ya wilaya na Maliasili mnalionaje swala hili lina manufaa kwa wakazi wa Jiji la dsm. Faida Kubwa ya baa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
kuna habari nimezipata kutoka mtu wa ndani NSSF kuwa pesa zetu zimeliwa zote na serikali sasa wanakuja kutunga sheria mpya mwezi wa saba bungeni kuwa mwanacha hutapewa pesa zake mpaka...
1 Reactions
89 Replies
10K Views
Posted by Mwanamayu | May 14, 2012 Hawa DAWASCO siwaelewi kwani toka last week nikifungua bomba la maji ya DAWASCO nasikia harufu sasa sielewi kama dawa imezidi, au hizi mvua zimeingiza uchafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom