Mgogoro wanahabari kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wanahabari kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STINGER, May 21, 2012.

 1. S

  STINGER Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nimeonelea baada ya kimya kirefu niseme yaliyomoyoni.

  Pamoja na juhudi tunazofanywa sisi viongozi kuleta amani ndani ya wanahabari kilimanjaro kuna wengine ambao hawapendi maendeleo hayo hivyo nimeamua kuwaweka bayana ili kijulikane cha kufanyika.

  Wanaoleta vurugu meki ni daniel mjema, ekton chuwa, josefin sanga, peter temba, bahati mustafa, jakson kimambo, rehema matowo, fedhila omari, enosi masanja, kija eliasi na fina limo.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  What the Heck????????
   
Loading...