Mwenye up dates za makamanda huko kanda ya ziwa pls atujuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye up dates za makamanda huko kanda ya ziwa pls atujuze

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chasha Poultry Farm, May 20, 2012.

 1. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,612
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  Wakuu tuliambiwa kwamba makamanda wakiongozwa na Lema, Millya na wengineo watakuwepo Kanda ya ziwa, ila naona kimya. au ndo Polisiccm wameisha piga marufuku?
   
 2. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wamemaliza kuwavua watu gamba huko kwa magufuli
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,814
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Walikuwa chato leo
   
Loading...