Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya mafuta ya taa kuadimika,jana nime yakuta kwa bei ya TSHS.2700/Litre.LAKINI rangi yake ni Blue,je nikwa nini?mwenye taarifa anijuze.mimi nipo mbozi mbeya.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
p
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Ripoti ya madini imetoka na majigambo mengiiiiii kuwa mapato yameongezeka kutoka bilioni mia na kitu hadi mia nne kutoka makampuni ishirini na kitu. swali ninalojiuliza kwa kuwa kujenga km 1 ya...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Asalaam aleikum wanajamvi, leo hii nimeona nitaje namba yangu ya uanachama wa chama changu cha siasa,; CHAMA: CHADEMA NO.0333673 TAWI. Kinondoni. Wanajamvi naomba na nyie mtaje namba zenu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwa taarifa za uhakika nilizonazo huyu jamaa ni Baharia...sasa uwezo wa kununua Meli Hatuna basi tujichange hata kwa kununua Boti awe anatoka Dar to Zenji..maana siasa imemshinda...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Uasho ni wana CUF ambao ndani wana magaidi wa kweli. Kwa kuungana kwao, kelele kati yao na Waunguja weusi kelele hamna tena japo bado kidogo. KIDUDU lakini bado kinawawasha wana CUF, kwa hiyo bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikwenda leo ofisi moja ya chuo kikongwe cha afya ili nipate huduma niliyohitaji. Nilifika pale saa 2 kamili nikaambiwa mhusika hayupo, 3:15 hayupo, 4:30 hayupo, 6:00 hayupo, niliporudi saa 7:35...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa watumiji wa benki ya baclays mnashauriwa kutumia benki zingine kuokoa muda netwark iko chini maisha bora kwa kila mtanzania
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kimya kingi toka makanisa yapigwe kibiriti huko z'bar hatimaye Mhe. Mkuu wa kisiwa hicho ameongea jana. Katika hotuba hiyo alisikika akipinga vikundi vya kidini kutumika kisiasa. Pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SOSI; Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
""Ni kweli siku tatu za vurugu mimi sikulala nyumbani, ila sitaji nilipokuwa nikilala…nachukua tahadhari, unajua sisi hatuna jeshi wala silaha, ila linaloandikwa likufike litakufika tu. Heri mimi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Vijana wengi leo wanaikimbia CCM na hawataki kuhusishwa nayo. Tujiulize; ni kwa namna gani vijana hawa watakuwa na mapenzi na chama kinachohusianishwa mara kwa mara, na kashfa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maeneo ya morocco hotel kuna vurugu kubwa ss hivi inasemekana kuna wanajeshi 3 wamepiga mwananchi na kumuua na wananchi wakaanza kumshambulia mwanajeshi huyo alievalia kiraia huku wenzake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana nape amesikika kupitia redio clouds akisema aliyekuwa waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige sio saizi yake ni mtu wa chini sana ambaye hoja zake zinapaswa kujibiwa katika ngazi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mara nyingi nimekuwa nikiona au kusoma jinsi wawekezaji wanavyopewa nafasi zaidi na serikali kiasi cha kufikia hata kuwanyanyasa wananchi. Serikali imekuwa ikifumbia macho malalamiko ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wa cuf mkoani mtwara wahofia kupoteza wanachama wao kutokana na mikutano ya chadema inayoendelea mkoani hapo. Source: majira
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa utafiti usio rasmi nilioufanya (Usiuhoji) nimegundua kuwa zaidi ya asilimia 45 ya Member wa Jamii Forum ni watanzania walio nje ya Tanzania. Je, ni sahihi kuibatiza JF jina la kichaka cha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu. Asubuhi hii imeingia meli ikiwa full mabunduki, rada kama ya chenge. Kunani au tumekamata ali-shabab\zenj
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkoa wote wa Shinyanga CCM ilishakufa na kama haijafa kabisa basi iko mbioni. Kilichobaki ni viongozi kupiga majungu. Chama mkoani kimegawanyika katika makundi makuu mawili, Magamba aka fisadi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Awali ya yote kwanza napenda Kumsukuru Mwenyezi Mungu muumba Mbingu na Ardhi kwa kutufikisha siku kama ya leo tukiwa wazima na hata waliokua si wazima hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom