Bvc au baraza la vijana cuf(vuguvuvugu la vijana) limepokipongeza kituo cha redio clouds fm kwa kujali kauli zitolewazo na wabunge wa wakiwa katika mijadala ya bunge.jana clouds fm imeripoti...
ninafikiri ni mwaka wa tatu tangu serikali yetu ikabidhiwe barabara ya singida manyoni to igunga,ziba,Nzega mkoani Tabora,katikati ya Sngida na igunga kuna mlima matata unaitwa SEKENKE''hAPO KUNA...
Wakuu Salaam.
ITV kwny taarifa ya habari ya saa 12 asbh ya leo Wametoa picha ya shehe Farid aliyotangaza tarehe 26 ndo siku ya maandamano kwa maelezo kuwa UAMSHO wameendelea kushikilia msimamo...
Kwa mara nyingine Kenya imetupiga changa la macho. Wametumia uchomaji wa makanisa Zanzibar kama fursa ya kuwashawishi watalii wasiende Zanzibar ili wabaki Kenya. Ikumbukwe kwamba makanisa...
Ndiyo wakuu kama nilivyo wajuza jana kuwa leo makamanda wapatao 50 toka chuo kikuu cha saut mwanza leo watahudhuria na kuhutubia mkutano utakao ongozwa na katibu wilaya geita,ndgu Rogerz ,diwani...
mwenye data ya vyuo hivi hata kuhusu ada yao na kiasi cha mkopo walicho pangiwa na board ya mikopo naomba anisaidie kwa sim yangu ndogo haiwezi download pdf plz.vyuo vyenyewe ni _TIA,MUCOS,IAA,CBE...
Kero
Mhariri
MIMI ni dereva, nimekuwa nikitumia muda mwingi barabarani na nimeshuhudia vijana wanaofuta vioo wakati magari yakiwa kwenye foleni na wananikera mno.
Wao wanachukua maji machafu...
Habari za kutekwa kwa kijana mwenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini na kisha kusafirishwa kwenda nchini Burkina Faso, zimestua na kuibua upya hofu iliyoanza kutoweka dhidi ya maisha na uhai wa...
Wizara ya Maliasili na Utalii juzi ililazimika kutoa tamko la kusahihisha habari za upotoshaji ambazo ziliandikwa na vyombo vya habari vya Kenya na kueleza kuwa Zanzibar kumechafuka na kwa maana...
Jana tumetangaziwa hapa Botswana kuwa Ng'ombe 20 mali ya rais wa Jamuhuri ya Tanzania zitaondoka leo kuelekea Tanzania,Rais Kikwete alinunua NG'Ombe 10 alipokuja hapa mwezi wa tatu kushiriki...
Jana kuliulizwa swali na munir zakaria wa channel 10
"Mh rais, Chama chako kilitoa tamko kwamba waziri wa sheria na katiba ndugu Abubakar ajiuzulu.
tamko hilo lilitolewa na naibu katibu mkuu wa...
KUTOKA NDANI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA-(UDOM) Taarifa za ndani ya Chuo hicho zinasema kuwa Uongozi wa Serikali ya Wanafunzi Unakabidhiwa kwa Vijana wa Kazi-CHADEMA baada ya mipango ya kuwaengua...
*Ana miaka 119
* Alipigana Vita ya Pili ya Dunia
Na Florence Majani
NI saa tano za asubuhi, basi litokalo Mabibo kuelekea Posta linashika breki katika kituo cha Usalama, eneo la Magomeni.
Katika...
Kwa kasi ambayo Chadema wanakwenda nayo hakuna wa kuwazuia kwan jinsi wananchi wanavyowakubali sijapata kuona kwan wakati wa Operation ya M4C n Vua Gamba vaa Gwanda nilikuwepo Mtwara ndugu wa...
Leo ndio siku ya kumtafuta mlimbwende wa tabata hapa da west park tabata watu ni wengi kuna bendi ya mashujaa pamoja na mashauzi clasic, mambo ni mazuri kwa kweli show ndo imeanza sasa.
Na Dinna Maningo,Tarime
MOJAWAPO ya matatizo kadhaa ambayo yamekuwa yakiusumbua mno Mkoa wa Mara ni uhasama na vita baina ya koo na makabila.
Hata hivyo, juhudi mbalimbali zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.