Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zetu WAZANZIBARI ipokeeni "peaples power" kama kifaa cha kupambana na sera msizopendezwa nazo huko visiwani,kwani hamuoni sie wabara tunavozidi kufanikiwa kuinyoosha serikali? Najua mmeamua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamii tuliunge mkono shirika la ndege la Tanzania kwa kupanda ndege zake (yake) sasa hivi precission na 540 wameshusha bei baada ya kuona wings of Kilimanjaro wanatozo ndogo sasa siku zote...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi kama mwanacdm halisi ni lazima niwe mkweli hasa pale napoona kuna kitu kama hakiendi sawa. Jamani kwa mtazamo wangu (self opinion) sijafurahishwa na hizi picha kwenye fcbk wall ya Heche na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
maji yatakatika jmosi na jpili wanatengeneza bomba kubwa la tegeta source :radio EA fb supamix
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Wana Jf kwanza kabisa naomba kukiri wazi kuwa sikuwa vizuri katika somo la hesabu enzi zangu shuleni,lakini namshukuru mungu kwamba hesabu za maisha ya kiafrika naziweza vizuri tu.Kwa miaka mingi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu wa ccm Iringa mjini Mr.Luciano Mbosa,yupo studio za Ebony fm akizungumza mambo mbalimbali yahusuyo chama na matarajio yao kwa uchaguzi mkuu ujao.Pia amewataja CDM kuwa chanzo cha vurugu za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Amiri wao Farid Hadi ametoa tamko hili mbele ya vyombo vya habari leo. Amesema Uislam unapinga vitendo vya chuki dhidi ya dini zengine. Hivyo watawaja wote waliohusika na uhuni ule. Source...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika, kuwa nchi yetu sasa inakabiliwa na matatizo mengi. Moja ya tatizo kubwa, ikiwa ni ubadhilifu wa fedha za umma, kuanzia serikali kuu hadi serikali za mitaa. Tatizo hili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Madai yenu ya kuukataa muungano yanauzito na nimadai yanayo sikilizika na kufanikiwa kama mtatumia busara na hekima Zifuatazo: Islamic State of Zanzibar: Mtakuwa mmejichimbia makaburi pindi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Williama Malechela ulisema kuwa leo utahudhuria Mkutano wa chadema jangwani .. Mkome nyani kwa kutumegea yaliyojiri.... Pamoja sana!!
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ya the Citizen la leo(June 1, 2012) imeandikwa kwa kiswahili, mmenote hicho kitu jamani? kuna watu wanataka kumuharibia TIDO nini, sababu wakenya kwa majungu tu!!
0 Reactions
0 Replies
786 Views
tokea jana kama mwanademoksia na pia mkombozi wa nchi ninayoipenda na pia mwanafamilia wa JF unajua kunamaneno ambayo watu wanaweyekusema wakiwa kwao nyumbani na familia zao lakini kuja jamvini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachama wa cdm na kila nilipo naihubiri cdm,hata kwangu hukutani na kitu chunye rangi ya njano au kijani zaidi ya mimea iliyowekwa na mwenyezi Mungu. Naomba kila siku tuendelee...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
HATUWEZI kuamini kwamba kiini cha vurugu zilizotokea mwishoni mwa wiki hii, Unguja visiwani Zanzibar ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa kifupi lazima shibuda afukuzwe ili Chama kipate ushindi.hii ni kama ODM ya Kenya walipomfukuza Najib Balala uanachama kwa kulisaliti chama na mwenyekiti Raila Odinga aliposema,(tunacheza mechi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii issue ya maandamano ya Uamsho, vurugu zilizotokea na uchomaji wa makanisa ina mengi yaliyojificha kuliko tulivyoona na kuamini (au kuaminishwa). Kuna wanaoona kuna mikakati ilibuniwa...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Anachofanya Maige ccm hakina tofauti na anachofanya Shibuda cdm, tofaut yao ni kuwa Maige kaponzwa na utendaji wake na kusukumwa nje na mfumo wa makundi ya urais 2015 ndani ya ccm, wenye akili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Binafsi ktk moja ya mambo ambayo mpaka leo yananisikitisha kuhusiana na serikali ya awamu ya kwanza chini ya mwalimu Nyerere ni kutoruhusu mfumo wa vyama vingi.Wako watanzania wengi wanaamini kuwa...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, jana alisema kwa sasa hataki kusumbuliwa kwa namna yoyote, badala yake ameomba aachwe huru ili ashughulikie matatizo aliyonayo. Bila kutaja aina ya matatizo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya mafuta ya taa kuadimika,jana nime yakuta kwa bei ya TSHS.2700/Litre.LAKINI rangi yake ni Blue,je nikwa nini?mwenye taarifa anijuze.mimi nipo mbozi mbeya.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom