SERIKALI imetakiwa kuharakisha utekelezaji wa uamuzi wa jinsi ya kutumia chenji ya rada katika kuboresha elimu nchini.
Rai hiyo ilitolewa jana na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Eugen...
Katika kukithiri kwa rushwa ndani ya shirika la Umeme Tanesco, meneja wa Tanesco Tabata bwana Richard Swai na wafanyakazi wote wapatao 28 wamesimamishwa jana na leo mda huu ndio maamuzi...
Mbunge wa jimbo la Mbulu Mh Mustapha Akonay amewataka wananchi wa jimbo la Mbulu kuacha siasa Chafu kwani haina msingi wowote mbele ya jamii na kuongea mambo pila ya kujua msingi wake na taratibu...
Ameyasema hayo ktk mkutano unaondelea Arusha na kunukuliwa na magazeti mbalimbali.
Kwa upande wangu hapo swali na maoni yangu ni kwamba
jk si moja ya viongozi wa africa na ana wadhifa na uwezo...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 31/05/2012 // Habari // 6 Comments
Ujumbe kwa Mheshimiwa Waziri Mohammed Aboud Zanzibar
Kwanza nichukue nafasi hii kumshukuru Allah (S.W) kwa ruzuku...
Maoni ya Katuni
Jumatatu wiki hii tuliripoti habari ya kusikitisha ya kuuawa askari polisi kanzu mwenye cheo cha sajini wa kituo cha Polisi Sirari wilayani Tarime, mkoani Mara.
Askari huyu kwa...
Mu hali gani wanajamvi kutokanana na ripoti za magazeti mbali mbali yalivyoripoti leo ktk mkutano unaoendelea Arusha jk amenukuliwa akisema africa ina rasilimali nyingi ambayo haitumiwi vizuri...
Tokea nimeanza kusoma maelezo yake hapa jukwaani anaonekana kama mtu ambaye akishindwa anatapata.
Hata mzee wake alikosa nafasi ya kugombea urais kwa maneno yake, matatizo yako William...
Ndiyo wakuu! Katika mwendelezo wa kupeleka ujumbe wa ukombozi wa pili wa Taifa hili na ikiwa ni pamoja na harakati za kuipigania Tanzania tuitakayo, makanda toka chuo kikuu cha Saut-mwanza...
Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa ktk kuwataja hao mharamia.Badala ya kuwataja kwa jina wamewaita WAHUNI wakati wanajulikana ni waislam na wao wanajiita waislam ha hadi sasa wanatambulika km...
`HATUKWENDA KURUKA RUKA MBUNGENI NI SHIDA ZA WANANCHI NDIZO NINATUWEKA PALE `
Mbunge wa jimbo la Mbulu Mh Mustapha Akonay amewataka wananchi wa jimbo la Mbulu kuacha siasa Chafu kwani haina msingi...
Ezekiel Maige uliyekuwa Waziri wa Mali asili na utalii:
Chini ya uongozi wako, mwaka jana (2011) Tanzania tuliibiwa Twiga wanne (nembo ya taifa "national heritage") waliotoroshwa kwa kupitia...
salaam wana bodi
Hatimae nguvu m4c imeshika kasi. Chama cha Magamba inakoaminika ndo ngome cha Magambazi Mkoani kILIMANJARO hatimae wameukubali mziki. Habari kutoka ndani ya Chama hicho...
Kwa muda wa wiki tatu sasa wakazi wa Manispaa ya Iringa hawana Mafuta ya taa na hakuna taarifa yoyote toka wa viongozi wa Serikali wala wamiliki wa vituo vya Mafuta ni nini kinaendelea. Bei ya...
Wandugu heshima kwenu! Nilifanyaga mtihani wa kidato cha nne kama 'private candidate' mwaka 1998 pale Old Moshi Sec. Na sikuwah fuatilia cheti kwan nilikuwa natumia summary slip. Ss nahitaji hicho...
Tuesday, 29 May 2012 21:17
Joseph Zablon
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki ameanza kutekeleza kwa vitendo kauli yake ya kuisafisha Idara ya Wanyamapori baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.