Wewe unaonaje hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe unaonaje hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PISTO LERO, Jun 1, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [h=3][/h]
  [​IMG]

  Ndugu zangu,


  Vijana wengi leo wanaikimbia CCM na hawataki kuhusishwa nayo. Tujiulize; ni kwa namna gani vijana hawa watakuwa na mapenzi na chama kinachohusianishwa mara kwa mara, na kashfa kubwa za kifisadi. Kashfa zinazoathiri maisha yao?


   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mh mmmmmmm! Hivi anayebomoa hicho kijikuta amevaa shati la rangi gani vile?
   
 3. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ufisadi ni ccm na ccm ni ufisadi
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  ccm

  Kuzaliwa 1977

  Kuzikwa 2015.
   
 5. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kimwil hutakuwa nasi ila kiroho tutaukumbuka ufisadi wako! R.I.P CCM
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Nyundo anayobomolea ipo kisheria kwani inapatikana katika bendera yao. Na akimaliza kutumia nyundo kubomolea ni dhahiri kuwa atatumia jembe ambalo nalo lipo katika bendera yao kuchimba msingi kwa ajili ya ukuta mpya. Cha kujiuliza ukuta mpya utakaojengwa ni wa material, kiwango, rangi zile zile ama vitu hivi vitabadilika?
  .
   
 7. m

  mandemba Senior Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Raha ya milele uwape hee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAmina
   
Loading...