JF a.k.a. KICHAKA CHA DIASPORA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF a.k.a. KICHAKA CHA DIASPORA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by leroy, Jun 1, 2012.

 1. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Kwa utafiti usio rasmi nilioufanya (Usiuhoji) nimegundua kuwa zaidi ya asilimia 45 ya Member wa Jamii Forum ni watanzania walio nje ya Tanzania. Je, ni sahihi kuibatiza JF jina la kichaka cha Diaspora?
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sio sahihi hata kidogo na nakumbuka kuna bandiko lililoonesha origin ya hits nyingi humu ni za hapahapa. Sema pale mwanzo ilipoanza kweli ilikuwa kichaka cha diaspora.
   
Loading...