Madini yote Tanzania hayawezi kujenga barabara ya Dodoma Dar

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Ripoti ya madini imetoka na majigambo mengiiiiii kuwa mapato yameongezeka kutoka bilioni mia na kitu hadi mia nne kutoka makampuni ishirini na kitu.
swali ninalojiuliza kwa kuwa kujenga km 1 ya lami ni 1 bilion na urefu wa barabara ya do to dar ni kama km mia tano na kitu hiyo hela ya madini kwa mwaka haiwezi kumaliza hiyo barabara kwa nini tunachimba madini?
na cha ajabu mpaka siment ipo kundi la madini(kama sijasikia vibaya).
sasa wadau nisaidieni tanzania tuna km ngapi za barabara?na kama tutaamua kutumia rasilimali zetu za madini itatuchukua miaka mingapi kumaliza hizo barabara?
je kweli madini yana thamani ndogo kuliko bia?

MSAADA WENU UTANISAIDIA SANA.
 
Daaaah,Kama takwimu zako ni sahihi basi tunaibiwa sana,yaani hayo ndiyo mapato ya kampuni zaidi ya Ishirini? Umetoa wapi taarifa hizi?
 
Mkuu Ringo Edmund hiyo taarifa iko wapi? Tupatie nasi tusome basi usiwe mchoyo wa taarifa kama unayo lakini kama huna well and good nadhani itapiga tu hodi hapa JF muda si mrefu.

Kwa nini umeamua kuipendelea barabara ya Dar - Dodoma na wala si nyingine?
 
Last edited by a moderator:
03% inayopokelewa na serikali kutoka kwenye uwekezaji wa madini ni ndogo sana.Kama mwl. Alikataa 15% iweje leo 3% ikubaliwe,Anyway wanasema WaTz Tuache kuwa conservative tuwe flexible kwani the world is changing also! Lakini mi nadhani yapo ya kuwa nayo flexible kama vile inflation(almost 18% now Tz) na mengineyo.Uflexibility wetu na ukarimu kwa Wageni unazidi kutuweka pabaya.Labda hili linalandana na statement ya Uncle Ben pale Nkrumar hall aliposema can you bear the consequences(za kuwatema jamaa kwenye rasilimali zetu).Mi nahisi madini tungeyaacha kwanza tutafute technologia then tutarudi baadae.Tz ni monopoly wa TANZANITE lakini du! Mungu Ibariki Tanzania na Uwakosoe Viongozi wake!
 
Mkuu Ringo Edmund hiyo taarifa iko wapi? Tupatie nasi tusome basi usiwe mchoyo wa taarifa kama unayo lakini kama huna well and good nadhani itapiga tu hodi hapa JF muda si mrefu.

Kwa nini umeamua kuipendelea barabara ya Dar - Dodoma na wala si nyingine?

KAKA HIYO TAARIFA IPO KWENYE TAARIFA ZA JANA NA MAGAZETI YA LEO.
NA NIMEAMUA KUITAJA BARABARA YA DOM DAR KWA SABABU NILIKUWA NATA FUTA BARABARA YENYE URFU WA KM 500.
na nimetumia barabara ili watanzania waweze kuelewa kwani ikikaa tu kitakwimu watu watafikiri ni hela nyingi.
 
Daaaah,Kama takwimu zako ni sahihi basi tunaibiwa sana,yaani hayo ndiyo mapato ya kampuni zaidi ya Ishirini? Umetoa wapi taarifa hizi?

kaka subiri ccm watakuja kuinadi hiyo taarifa ipo kwenye magazeti yatafute leo.
 
NAIROBI-MOMBASA HIGHWAY
mombasa-road.jpg
 
Kudadadeki kweli Kenya ni soo!!

Kenya walifanya maamuzi magumu ya kubomoa majumba mazuri mazuri kupisha barabara hapa Dsm serikali inaogopa sana wakubwa. KIle kibarabara kutoka Victoria hadi Morocco (Bagamoyo Rd) kila mwaka wanapiga X wenye majumba pale wakina Keenja wanafuta.

Magufuli fanya kazi acha kuuza sura kwenye TV
 
Magufuli mwoga tuu yule, mwoga kwelikweli!
 
Maaamuzi magumu waliyofanya ni kuwa honest na wakaja na katiba mpya ambayo cornerstone yake ni transparency

the rest is history
 
Mzalendo wa nchi hii unapoona hali ilivyo Tanzania na lasilimali tulizonazo unatamani CCM ingekufa leo tunaweza kupata mafanikio ya haraka zaidi kuliko ilivyo sasa.

Ninathubutu kusema kuwa kwa kipindi cha miaka hamsini ya uhuru Tanzania ilipata mafanikio tangu 1961 hadi 1985.Baada ya hapo ni kilio na kusaga meno.

Ningetamani sana kama viongozi wa CCM wangeadhibiwa kama CHARLES TAIRA maana hawa siyo binadamu .
 
Ulikuwepo wakati huo au unajisemea tu?

Kwa tuliokuwepo kabla na wakati huo na sasa, tunasema Tanganyika ilikufa 1964, ikazaliwa Tanzania hoi bin taabani iliyokuwa ICU.

Mwinyi ndio akaja kuipa tiba stahiki na kuitoa ICU, mkapa akaanza kuifundisha kutembea baada ya kutoka hospitali, Kikwete anaifanya ikimbie kwa kasi zaidi.
 
Back
Top Bottom