siasa ya kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

siasa ya kweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nondoman, Jun 1, 2012.

 1. nondoman

  nondoman New Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  watanzania hebu tuwe na siasa ya kweli ambayo italeta mabpinduzi katika nchi yetu malumbano ya nini? , lakini mimi kama mimi nawashukuru sana CCM kwa kulumbana wao kwa wao na kupoteza wanachama kitu ambacho kinafanya CHADEMA kuendelea kukua na kuanza kuisogelea au kunusa ikulu 2015 kwani kupoteza kwao wanachama kukakuza chachu kwenye siasa
   
Loading...