Tetesi: mwanajeshi auwa wananchi wataka kumuua nae

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
819
1,320
Maeneo ya morocco hotel kuna vurugu kubwa ss hivi inasemekana kuna wanajeshi 3 wamepiga mwananchi na kumuua na wananchi wakaanza kumshambulia mwanajeshi huyo alievalia kiraia huku wenzake wakikimbia na kumwacha akila kichapo! Alijaribu kukimbilia ktk daladala likaharibiwa vibaya kwa mawe na wananchi hao wengi wakiwa ni vijana! Dalala hilo liko mbele ya daladala tulilo sisi ,mpaka tunavuka eneo la tukio hakuna askari yoyote aliefika na hatujui hatma ya kijana huyo aliejitambulisha kua yeye ni mwanajeshi
 
Mnh kaazi kwelikweli...
But sidhani kama ukiwa mwanajeshi au polisi ndo tiketi ya kujichukulia sheria mikononi...
By the way,sidhani pia ni sawa wananchi kuchikua hatua hatua kama hiyo...
I think there was better way than that...
 
Dawa ya moto n moto baada ya kujitambulisha kuwa ni mjeshi angechomwa moto kabisa. Badala ya kwenda kupambana na majangili huko serengeti au al shaabab wanapigana na wananchi.
 
kuvaa gwanda sio uwatese wenzako,hawa jamaa wanaujiko sana kuwa wanauwezo wa kuadhibu wananchi,naomba tu apate haki yake.
 
Wanajeshi (ingawaje si wote) wajirekebishe kwa hili. Juzi juzi wamempiga jamaa mmoja pale Ubungo Rombo. Si vizuri kwa kweli. Hili ni Jeshi la Wananchi.
 
Wanajeshi wanadharauliwa sana. Ngoja wakati mwingine waonyeshe nini walichofunzwa. Hawa wanajua kuua tu, si polisi wanaovizia rushwa!!!!
 
Wanajeshi wanadharauliwa sana. Ngoja wakati mwingine waonyeshe nini walichofunzwa. Hawa wanajua kuua tu, si polisi wanaovizia rushwa!!!!
Acha kutetea ujinga, jukumu la Wanajeshi sio kuuwa wananchi hata kama wawe wanafundishwa kuuwa au kufufua its not the reason to do such stupidity.
 
Mnh kaazi kwelikweli...
But sidhani kama ukiwa mwanajeshi au polisi ndo tiketi ya kujichukulia sheria mikononi...
By the way,sidhani pia ni sawa wananchi kuchikua hatua hatua kama hiyo...
I think there was better way than that...

Mwanajeshi au polisi kuua ni sawa?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom