Cuf taabani

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Viongozi wa cuf mkoani mtwara wahofia kupoteza wanachama wao kutokana na mikutano ya chadema inayoendelea mkoani hapo.

Source: majira
 
peoplez pawa kama moto wa petrol teketeza kila kitu itakachokikuta ndani ya nyumba..sio bibi wala bwana..chezea NGUVU YA UMMA WEWE
 
Walisema chadema ni cha kaskazini sasa hata mke mkubwa wa ccm (cuf) wameanza kubwabwaja bado mke mdogo (nccr)
 
Hongera m4c kwa kuonyesha njia ya ukombozi wa pili kutoka kwa mkoloni mweusi
 
CDM kuweni na huruma jamani! Watu watakimbia nchi sasa hivi! Ohoo!
 
CCM A" na CCM B" wote lazima wafe NATURAL death' Moto wa M4C si mchezo hakuna cha ukanda
wala ukabila,wala udini" CDM imeachiliwa nyakati hizi kwa ukombozi wa Tanzania yetu"
 
Back
Top Bottom