Salaam wana JF.
Huo ni ujumbe kwa wafanyakazi wote,popote pale walipo. Kuanzia wasaidizi wa ndani,wafigizi wa barabara,makondakta na madereva wa mabasi,hadi kwa rais wa JMT.
Watanzania...
Imekuwa kama utamaduni wa UDOM, kila majina ya wanafunzi kusain pesa zao za meals and accomodation yanapoletwa chuoni, baadhi hukosa majina yao! Katika hatua za mwanzo, watu hao hulazimika...
baada ya vurugu zilizotokea kuna umuhimu wa Friends of Zanzibar kuja na kuwapa watu uhalisia wa positive news toka zanzibar
Kama kawaida watu wa Zenji hawana makuu
Members ,mie mwenzenu sielewi labda kwa kupitia hapa naweza nikapata kuelewa.Mkoa wa Shinyanga nadhani ni mkoa wenye madini kwa kipindi kirefu sana lakini mbona hapaeleweki ? Maisha ya wenyeji ni...
A Facebook post recently revealed that if people were to be stripped naked, more than three-quarters of the handsome and beautiful people walking on the streets would be accused of witchcraft on...
Mamlaka ya usafiri wa nchi kavu na majini(sumatra) na wamiliki mwa daldala(dacoboa), wamejadiliana na kukusudia kupandisha nauli kwa asilimia 150.bila huruma wala kujali kuwa hata hii...
Wakati barabara ya Maendela taa hazijawashwa, askari traffic walikuwa hawaongozi magari kwenye mataa. Kila siku pale uhasibu/kilwa rd kulikuwa kunatokea ajali mara kwa mara the same na pale...
Muasisi wa Siasa za mageuzi na mmoja wa waanzilishi wa chama cha CUF mzee Musobi Mageni amefariki dunia jana saa mbili usiku nyumbani kwake Ngudu, Kwimba. Mzee alikuwa anasumbuliwa na magonjwa ya...
Tanesco mnakera na mitambo yenu hakuna kitu kinakera kama unaenda kununua umeme unaambiwa network akh!hakuna sehemu tanesco wapo imara kuanzia kwenye menejimenti hadi vitendea kazi network liwe...
Nimekaa kimya kwa muda mrefu nikiwaza kilichotokea hivi majuzi huko kisiwani Unguja. Najiuliza hivi Wakristo wa visiwani wana makosa gani hadi kuchomewa nyumba zao huko ZNZ? Yaani muungano na...
Wanajamii na wataalamu ya mambo ya kimataifa,
Wananchi hawana haki kujua kuhusu mikataba inayosainiwa na viongozi wetu?
Mara kadhaa nimeona picha za viongozi wakisaini mikataba lakini...
Nilitapeliwa sh 1,600,000 na ndg. fulani, kisha akatoloka kwa masiku kadhaa, nikatoa taarifa ya kuibiwa polisi urafiki ubungo na kupatiwa RB... wakati wa mizunguko ya ndugu zangu wa karibu...
na Betty Kangonga
KANISA la Pentekoste Tanzania limedai kuwa vurugu zilizotokea visiwani Zanzibar na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali, zina msukumo wa baadhi ya viongozi wa...
Simba Mikumi atesekaWakati Kagasheki akiwasimamisha kazi vigogo hao na askari, gazeti la Daily Mail la Uingereza katika ovuti yake ya Home | Mail Online umeaandika habari ya kusikitisha ya simba...
Jamani naomba kujuzwa hizi kampuni za uchukuzi kwa kila mkoa ambazo ni Iringa(iringa retco) Mbeya(mbeya retico)Mwnza(kauma) Ruvuma(kauru) Morogoro(mororetco)n.k. Hivi hizi kampuni ziko wapi maana...
Chadema kimepiga hatuwa katika kuelimisha wananchi na wapongeza wote waliofanisha kufikiwa hilo, isipokuwa napenda kuwaeleza na kuwakumbusha wafuwasi wa Chadema haiwezekani haiwezekani na haito...
Nimekuwa nikifuatilia sakata la ZNZ juu ya muungano, kwa macho ya nyama inaonekana mashehe wamechukua kazi ya wanaharakati au pengine wanasiasa ya kudai uhuru wa ZNZ kama wanavyosema.
Kwangu...
Wana JF,
Kwa interest tu mnaweza kuona Gwanda at Work, sisi hatuhubiri siasa za porojo, oneni hapa kwenye hii link.
The United States African Development Foundation (USADF) provides a grant to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.