Mafuta ya taa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya taa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TEGEMEA, Jun 1, 2012.

 1. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya mafuta ya taa kuadimika,jana nime yakuta kwa bei ya TSHS.2700/Litre.LAKINI rangi yake ni Blue,je nikwa nini?mwenye taarifa anijuze.mimi nipo mbozi mbeya.
   
 2. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Kwa nini sio njano? M4C Hiyo, si mliamua kuvaa Gwanda.,....
   
 3. S

  Sweetbert da Sucre Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole nadhani we' c sehemu ya M4C (hautaki walao kubadilika),kukubali kwamba ccm wanatuumiza,na kwa 7bu hiyo unawakwaza wanaoitakia mema nchi.
  Keep mum kama hauna cha kuongea,pia ni busara.
  I hope u don' mind,hey....
   
Loading...