Harambee ya kununua boat kwa ajili ya william .j. Malecela

Az 89

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,658
691
Wakuu kwa taarifa za uhakika nilizonazo huyu jamaa ni Baharia...sasa uwezo wa kununua Meli Hatuna basi tujichange hata kwa kununua Boti awe anatoka Dar to Zenji..maana siasa imemshinda anatengeneza blog tu na kuweka picha za kina Sinta that means yupo idle kwa sasa... Namba ya M-PESA Atakuja kuwapa yeye mwenyewe!
 
ndio hasara hizo za kupeleka watoto usa,wengi wao wamerudi bongo wamelost
 
Huyu akibeba abiria ataua maana ubongo wake hazimtoshi,asije akasababisha ajali tumechoka maafa.
 
Costa-Concordia-cruise-sh-007.jpg
 
hahahahaaaaa...!!! huyu anaweza akiipindua kweli manake anavyo penda misifa!. lakini mshikaji yupo poa sana. sema mnamponda coz yupo ccm angekua cdm ni salute kwa kila mtu.

Jamani msijaribu kabisaaaaa.... Nyie kama ni kazi mpeni ya Ukuwadi kama anayofanya kwa Juma Pinto na Riziwani Kikwete... Au fungueni Mini Pub yeye atakuja kupiga picha na kuzitangaza facebook na kene blog Buuuure!...Le'Mutuz Le'Baharia...
 
Back
Top Bottom