CUF Uamsho Kidudu

Pharaoh

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
843
157
Uasho ni wana CUF ambao ndani wana magaidi wa kweli.
Kwa kuungana kwao, kelele kati yao na Waunguja weusi kelele hamna tena japo bado kidogo.
KIDUDU lakini bado kinawawasha wana CUF, kwa hiyo bila kuendelea kufanya (fujo) hawawezi tena kukaa kimya.
Sasa wanapambana na Nchi yao Tanzania.
Vunja serikali ya Umoja wa KItaifa Zanzibar utaona hakuna Uasho tena, watarudi CUF vs CCM.
 
hiyo naweza kubaliana na wewe...toka makanisa yachomwe moto cuf wamekaa kimya hakuna kiongozi hata mmoja kasema kitu..cuf sio chama na zanzibar wasikubali cuf ichukue madaraka
 
CUF washalewa na kahawa na Posho za ikulu, wamezembea kifikra na kimwili.
 
unataka kusema cuf baada ya kuwa serikalini wamewasahau ndugu zao.... ndugu zao wameamua kusajili kikundi chao sijui ni chama au kikundi cha ugaidi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom