Jerry Muro atangaza kituo cha tv atakachofanyia kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jerry Muro atangaza kituo cha tv atakachofanyia kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BigMan, Jun 9, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  mwana habari maarufu nchini kwa habari za uchunguzi jerry muro baada ya kukaa nje ya tasnia ya habari sasa ametangaza kuanza rasmi kazi kesho jumapili saa tatu usiku soma hapa :

  millardayo.com/exclusive-jerry-muro-atangaza-kituo-cha-tv-atakachoanza-kufanya-nacho-kazi/
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  ili kujua tu jina la hicho kituo unalazimika kunipa link?
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwanini hukutuandikia jina la hicho kituo haina maana wala sifuati hiyo link
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ambayo nayo haifunguki!
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Bigman atakuwa Millard Ayo
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Wengine tunatumia mobile kufungua link nyingine ni usumbufu daa!
   
 7. B

  BigMan JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
 8. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Lengo lako ni kutuhabarisha habari ya jerry muro au kuinadi na kutangaza hiyo link?
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  mi hata kujaribu sijajaribu, sio tu ni usumbufu ila ni upuuzi, namna huyu bwana mdogo anatafuta popularity jf
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  [h=2]EXCLUSIVE: JERRY MURO ATANGAZA KITUO CHA TV ATAKACHOANZA KUFANYA NACHO KAZI.[/h] Posted: 7th June 2012 by MillardAyo in News

  4
  [​IMG]Jerry Muro.

  Jerry Muro Mtangazaji/Mwandishi wa habari ambae alisimama kufanya kazi kwa miezi kutokana na kesi ya kuomba rushwa, kesi ambayo baadae alitangazwa kushinda, ametangaza kituo chake cha kazi baada ya wengi kutomuona kwa muda TBC alikokua akifanya kazi.
  Jerry amesema anarudi kufanya kazi TBC na jumapili hii saa tatu na nusu usiku ndio kipindi chake cha kwanza kitaanza kuonekana ambapo kitakua kinaingia kwenye siasa, afya, Uchumi na mengine.
  Kuhusu kuendelea kutoa habari zake za kufichua maovu, Jerry amesema "ni kazi ambayo iko kwenye damu yangu unajua watu wanaweka matuta barabarani lengo ni kufika mbali japo utafika sehemu utapunguza spidi unaruka tuta unakwenda, sasa hivi tutaifanya kwa ubora zaidi lakini pia sio siku zote tu tuchunguze chunguze kuna saa nyingine inabidi utoe breki alafu uangalie"
  Kwenye sentensi nyingine Jerry amethibitisha kwamba wakati alipokua kimya baada ya kushinda kesi kuna vituo vingi vya TV Tanzania ambavyo vilitaka kufanya kazi na yeye lakini alishindwa kwa sababu vituo vingi sasa hivi vinafanya kazi kwa makundi ya kisiasa, vingine vimeegemea upande mmoja ndio maana akaamua atumikie kwanza wananchi.
  "Sio kwamba TBC ndio mwisho wangu lakini ni sehemu ambayo naweza kukaa na kuangalia nakwenda wapi nafanya nini sehemu gani, kila kitu lazima kiwe na mwanzo kwa hiyo hilo kwangu ni mwanzo tu lakini kama nafasi nzuri zitajitokeza basi zitapewa nafasi" – Jerry Muro
   
 11. B

  BigMan JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
 12. B

  BigMan JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kufahamu linki tofauti ni faida kwako ama ujitambui ?
   
 13. B

  BigMan JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  haujalazimishwa
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  that's too low, grow up!
   
 15. B

  BigMan JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  big no.............hapana kubwa
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa ametangaza kituo atakachofanya kazi ama amerudishwa kazini kwake? Mkwe bwana, mi nikajua anahamia skynews atii! Haya karibu tena!
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Watu kama huyu ndio wanaofaa kulambwa ban ili wajifunze kutumia forums, wakirudi wametia akili. Sio mnatuonea sisi, tukionesha mabaya ya Nyerere tunalambwa ban wakati tulikuwepo na anaetulamba ban hakuwepo na anamsikia tu.
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  uliiweka ya nini kila mtu Ana lalamika utakuwa una matatizo wewe
   
 19. U

  Uswe JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  nshakupa LIKE mkuu, hii ndio maturity sasa, sio kuwekeana vi-link pasipo ulazima wowote, watu wengine wepeeesi afu wanalazimisha kuanzisha thread kwa Great Thinkers!
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Bi mkubwa nimekumisi! Kumbe upo, nshakutafuta ile mbaya!
  Wknd hii vitumbua najikaribisha, achana na watoa povu hawa halifui nguo
   
Loading...