Nianze Kuzima Moto Upi Kwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nianze Kuzima Moto Upi Kwanza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domhome, Jun 24, 2012.

 1. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Jamaa anaomba msaada tafadhali hebu mshaurini!!
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  madaktari,walimu wapo wako likizo sasa
   
 4. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kwa kutumia ndoo sio rahisi labda apige simu ili aite kikosi cha zima za moto au kojozi la polisi maana lina bomba mbilimbili!
   
 5. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Imekuaje tena? Mbona huo moto mmoja baba nanihii alikwisha uzima? Au alifukia mkaa kwa majivu ya moto? Bora uanze kuuzima huo uliotulizwa na baba nanihii wakati ule. Huo wa nyumba ya pili (TUCTA) huwa sio mkali sana wazee wa darisalam wakiitwa tu unazimika fasta.
   
 6. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  MwaJ,

  Aliuzima kwa pumba za Mchele matokeo yake sasa umelipuka tena, na FIRE hawauwezi ule. Ngoja tuone EPISODE two itaishaje.

   
 7. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sasa ndio watu wajue kuwa wakiwa wanadai haki zao wasiwe wepesi wa kukimbilia Magogoni maana hakuna lolote huko zaidi ya kutabasamu na kupiga picha!
   
Loading...