Kwa nini Madaktari mliipigia kura CCM?

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Haya yote yanayotokea yanatokana na sera mbovu na uongozi mbovu wa serikali ya ccm.
Madaktari na familia zenu nyie ni wasomi na mnajua kabisa jinsi serikali ya ccm inavyowaibia wananchi, mnajua kabisa jinsi viongozi wa ccm walivyo waroho na wanavyojipenda wao.
Mnaona kabisa jinsi wanavyowazadharau nyie madaktari wa hapa nchini. Wao wakiumwa wanajipeleka india kwani wanawaona nyie kuwa mpo shalow. Lakini cha kushangaza mliipigia kura ccm bila shaka.
Nyie madaktari mpo sio chini ya watu 10,000. Kura 10,000 si haba.nyie ni watu waelewa na kwa elimu yenu mnaweza kuchambua na hamuwezi kudanganywa na t shirt.
Ambaye ameipigia kura ccm ndiye atakayekuwa wa kwanza kutokwa na mimate hapa. Ninasikitika sana kuwa mmeiweka ccm madarakani lakini mme fail kusolve iisue yenu kwa njia ya diplomacy. Kwa nini mliipigia ccm kura?
 
Kura ni siri ya mtu wewe umejuaje kama waliipigia CCM? Wewe ulitaka wakipigie chama gani?
 
tusiwalaumu wameshajifunza watajua kura yao wampe nani 2015 wakifanya makosa tena hapo wakigoma sito waunga mkono
 
madokta waliipigia cdm ila magamba yaliiba kura kama yalivyoiba epa kuingia madarakani
 
Haya yote yanayotokea yanatokana na sera mbovu na uongozi mbovu wa serikali ya ccm.
Madaktari na familia zenu nyie ni wasomi na mnajua kabisa jinsi serikali ya ccm inavyowaibia wananchi, mnajua kabisa jinsi viongozi wa ccm walivyo waroho na wanavyojipenda wao.
Mnaona kabisa jinsi wanavyowazadharau nyie madaktari wa hapa nchini. Wao wakiumwa wanajipeleka india kwani wanawaona nyie kuwa mpo shalow. Lakini cha kushangaza mliipigia kura ccm bila shaka.
Nyie madaktari mpo sio chini ya watu 10,000. Kura 10,000 si haba.nyie ni watu waelewa na kwa elimu yenu mnaweza kuchambua na hamuwezi kudanganywa na t shirt.
Ambaye ameipigia kura ccm ndiye atakayekuwa wa kwanza kutokwa na mimate hapa. Ninasikitika sana kuwa mmeiweka ccm madarakani lakini mme fail kusolve iisue yenu kwa njia ya diplomacy. Kwa nini mliipigia ccm kura?

Kwa hiyo umekiri kuwa Chadema walishindwa sasa mbona Slaa, hataki kukubali ebu kamfahamishe mwambie kuwa Madaktari waliipigia kura CCM.
 
kamanda Mbowe ameshasema CCM wakishinda 2015 atajiuzulu siasa.

2015 mtoto hatumwi dukani.
 
ni hoja nzuri..madaktari inaonekana hawana imani kabisa na serikali so uchaguzi ujao mpige kura vizuri lasivyo matatizo yenu hayataisha
 
Back
Top Bottom