Vioja daladala za Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vioja daladala za Iringa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HP1, Jun 24, 2012.

 1. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Katika mkoa wa Iringa watu wa daladala wana vioja sana. Sio ajabu dereva kushuka kwenda kusalimia rafiki zake. Daladala inasimama kituoni mpaka daladala nyingine iwe inakuja. Konda anamwambia dereva wakashushe abiria ili wawahi pombe. Wanawajua abiria wao, utasikia chukua yule mzee anashuka semtema. Kila abiria anataka ashushwe anapotaka hata kama ni karibu karibu. Utawasikia shusha hapo kwenye mchongoma, au shusha hapo sheli (kilabu cha ulanzi). Yani kuna vioja vingi. Mliowahi kufika Iringa mnaweza kuongezea.
   
 2. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwenye daladala za mkoa wa Iringa kuna vioja sana. Dereva anaweza kushuka kwenda kusalimia rafiki. Konda anamwambia dereva wawahi kushusha abiria wakanywe pombe. Daladala inasimamishwa mpaka itokee nyingine. Kila abiria anataka ashuke kituo chake. Utasikia "shusha sheli" (kilabu cha ulanzi), shusha kwenye mchongoma. Konda anasema "chukua huyo jamaa anashukiaga semtema". "chenji ujage kuchukua kesho be". Kuna vioja lukuki. Aliyewahi kufika Iringa anaweza kuongezea.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ulichosema ndiyo hali halisi sisi na wanyaru tunavyoishi!
   
 4. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  [
  Hii post hapa si pahala pake bana. mbona Jamii Forum imeingiliwa na vijitu vyenye akili finyu vinatoka wapi ?  QUOTE=HP1;4112462]Kwenye daladala za mkoa wa Iringa kuna vioja sana. Dereva anaweza kushuka kwenda kusalimia rafiki. Konda anamwambia dereva wawahi kushusha abiria wakanywe pombe. Daladala inasimamishwa mpaka itokee nyingine. Kila abiria anataka ashuke kituo chake. Utasikia "shusha sheli" (kilabu cha ulanzi), shusha kwenye mchongoma. Konda anasema "chukua huyo jamaa anashukiaga semtema". "chenji ujage kuchukua kesho be". Kuna vioja lukuki. Aliyewahi kufika Iringa anaweza kuongezea.[/QUOTE]
   
 5. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  [/QUOTE]

  umekuwa moderator siku hizi?
   
 6. S

  Starn JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hahahahaaaa!!! Fikiria kama hiyo ingekuwa ni Dar sijui ingekuwaje
   
Loading...