Napanga kuyashitaki makanisa na serekali kwa mgomo huu wa madaktari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napanga kuyashitaki makanisa na serekali kwa mgomo huu wa madaktari!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Jun 24, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia maendleo mabovu ya sekta ya Afya bila ya kuzitaja mabilion haya ya Umma ya walipa kodi wa kitz
  lkn *kinachoshangaza hakuna udhibiti wa ukaguzi wa mapesa haya ya umma. Mkaguzi mkuu wa serekali hajawahi kutoa ripoti ya ufisadi unaofanywa kupitia Ufisadi wa miradi hii. Hospital za makanisa nazo zinagoma huku serekali ya CCM ikitoa ruzuku ya mabillion ya shillingi haya + bajeti ya wizara ya afya nayo ikiangukia huko huko BUGANDO na KMC. lkn nao wanagoma
  Hizi pesa zingalitumika ipasavyo, migomo kama hii kamwe isingetokea kak taifa letu.
  hapa ni wazi makanisa na serekali inatuhadaa watz.
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Katibiwe madrassa!
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  uamsho na nyie aaaah.
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  una uhakika ruzuku hiyo inatosheleza mahitaji?

   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  acheni udini
   
 6. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ungekuwa mjanja ungejadiri vyanzo vipya vya mapato ya serikali ndio uje kujadiri matumizi. Sasa kwa taarifa yako ni kwamba serikali yako dhaifu inategemea fedha ya walevi na wavuta sigara ambayo haitoshi na hivyo haipelekwi mahospitalini kama unavyodai.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Alshababi bwana, sasa mmechoka kuishi subiri tuanze kuwatafuta kama magaidi tishio kwa nchi.
   
 8. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hzi za MOU ZINATOLEWA FULL. LKN MKAGUZI ANAOGOPAM KUTIA MDOMO WAKE. SASA WATZ WANAKUFA KWA MADAKTARI
   
 9. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mou = madaktari wa kanisa wanagoma
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  sidhani kama uko timamu.
   
 11. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni wakati wa kuwaburuza mahakamani
   
 12. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kusema si kutekeleza, bali ni kuchezesha mdomo tu.
   
 13. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kanisa lifanye ufisadi tu, kwa wanaharakati wetu sio dhambi. Tz hii hata miaka 10000000 hakuna maendeleo.
   
 14. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  watu mnaovaa suruali fupi mnamatatizo sana. Yaani hamuwezi kujadili jambo bila kutaji makanisa?Kwani hospitali zinazomilikiwa na makanisa zinabagua waislamu? Nakushauri kama unaushahidi fungua kesi mara moja; usiendelee kuleta thread zinazoelekea kuvuruga amani ya nchi kwa sababu ya ubaguzi wa kidini
   
 15. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hakuna maendeleo kwa kuwa nchi inaendeshwa na chama dhaifu, Serikali legelege na Rais dhaifu na goigoi.
   
 16. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Naona muungano umeshindikana kuuvunja,sasa mnataka kuivunja Tanganyika vipande vipande magaidi wakubwa nyie!
   
 17. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mpiganaji huwa hasemi nimepanga kukupiga, he gets up and fight. Tuletee habari ni mahakama gani umefungua kesi. Acha maneno kama Komb2.
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  MoU = EPA = ROCHMOND
   
 19. D

  Dr.Who Senior Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja watoke makanisani labda utapata mwenye uelewa atakae weza kujibu hoja yako, waliobaki kama kawaida yao ni matuzi na mapovu
   
 20. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  wameshatoka disco tayari sasahivi wanapata lunch,ngoja wamalize lunch uone matusi!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...