Kipindi flani nilimshuhudia Dhaifu akiwaahidi wasanii wa muziki wa kileo studio mpya, labda aliamini wasanii tabu yao ni studio, ama ni vyombo vipya
Lakini ukifikiri kidogo unagundua alilenga ama...
More than pains beyond comparison. Japo mishahara yetu ni midogo bado machungu yanaongezwa kwa kukatwa 40000 ktk mishahara yetu midogo. Suala je ni bodi ya mikopo au ndio mikakati kuongeza vyanzo...
Simbachawene: Sijafumaniwa
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameibuka na kukanusha vikali uvumi ulioenea jana kuwa amefumaniwa na mke wa mtu mjini Singida usiku wa kuamkia...
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameibuka na kukanusha vikali uvumi ulioenea jana kuwa amefumaniwa na mke wa mtu mjini Singida usiku wa kuamkia jana na kujeruhiwa mkono kwa...
Taratibu ila wenye madhara makubwa.Madaktari wanagoma kwa aina ya kipekee.Muhimbili,Bugando,KCMC na kwingineko ni balaa.Huduma zimedorora.Watu wanataabika.Serikali yalazimisha mijadala isiyo na...
Star TV Fundisheni watangazaji wenu Kusoma Magazeti
Kwa kipindicha karibu miezi miwili hivi nimegundua kuwa Kile kipindi cha Tuongee Magazetikwa upande wa Star TV na Watanzania tuzungumze...
Katibu Mkuu wa Vijana wa BAKWATA amesema mgomo wa madaktari unaoendelea hauna nia njema kwa taifa.
Amedai mgomo huu unaweza kusababisha vifo vya watz wasionahatia.
amewataka wote wanaoshabikia...
Wadau niko safarini kwenda Iringa nimeanza safari saa sita na nusu mchana.
Nimepanda basi lenye majina mawili kwa gari moja, ubavuni limeandikwa Budget na mbele linaitwa Upendo.
Gari...
Nimetoka kushuhudia ajari mbaya ambapo mtu mmoja amegongwa na pick up ikitokea ubungo mataa kwa kasi imemgonga na kichwa kupasuka ubongo kusambaa tapatapa barabarani" bahati nzuri kulikuwepo na...
Ushuru wa magari ni mkubwa sana,
Simamieni sana hilo,,mfano umenunua gari on line japan kwa usd 2500 ambayo ni tsh 4000000,tra wanakukadiria ushuru unakua sawa nna bei ya kununulia kama m4 jumla...
Kauli hiyo ilitolewa na Dr Hussein Mwinyi,ambaye alikua ni miongoni mwa mawaziri waliotoa ahadi za maziwa na asali mda mchache baada ya KUAPISHWA...
Japo haujapita muda mrefu saana tangu aingie...
kuna kitangazo ktk TV anaonekana jamaa na km ndoo fulani iliyo na kodi ndani, halafu pia wanaonekana wafadhili nao wana ya kwao.Wote wanajaza ktk pipa ambalo nalo limetoboka, halafu pana kuvuja...
baada ya kuumbuka katika mgomo wa kwanza wa madaktari PR wa hospitali ya muhimbili kaamua kufunga ofisi na kuzima simu ili kuepuka kutoa habari za mgomo wa madaktari hapo muhimbili.
Chadema imezidi kujiimarisha hadi nje ya mipaka ya Tanzania baada ya mwanachama mpya Hussein Msabaha kukabidhi
gari tawi la washington DC ili liweze kutumika kwa ajili ya kuwafikia watanzania...
Wanajamii forum ivii mbona walimu ndio kundi lenye mishahara midogo kwa maana hii ni dhahiri kwamba serikali haipo siriaz kwenye elimu maanake walimu wanafanya kazi nzito sana lakini malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.