WADAU. Nimekuwamsikilizaji wa kipindi cha asubuhi cha Clouds FM cha Power Breakfast, ambachoni maarufu sana siku hizi, siku za karibuni GERALD HANDO kupitia segment yakeya Jicho la Ngombe...
Nimetazama Star TV leo asubuhi, Mtangazaji Baruhani Muhuza aling'ang'ania kuuliza "Hivi hakuna njia nyingine ya kuchukua zaidi ya hii ya Mgomo?" hata baada ya kuelezwa kwa ufasaha hatua...
Musoma na rorya wamepewa kivuko, lakini cha ajabu wametofautiana kivuko kilale wapi. Musoma wanataka kivuko kilale Musoma na Rorya wanataka kivuko kilale kwao.
Mbaya zaidi kamati ya ccm imekaa...
Hey wadanganyika nani kawaloga nyie kila leo utasikia oooh maneno hayo/haya sio maadili ya Kitanzania hata mtu akisema neno kama hili pia ni matusi na si maadili kwa watanzania neno DHAIFU hivi...
mi kwa maoni yangu nadhani umaskini tulionao tanzania licha ya mambo mengine ila umesababishwa sna na siasa za ujamaa za mwlm JK nyerere.maoni yko yakoje?
mwezi wa pili au wa tatu mwaka huu tulimsikia waziri mkuu ndugu Pinda akitangaza ongezeko la posho ya kuitwa kazini baada ya muda wa kazi (call allowance) kwa wahudumu wa afya.
Ni hivi majuzi...
Mbunge wa Ngara Ntukamazina amesema kuna tatizo kubwa kwa uteuzi wa uongozi katika nchi hii. Watu wasio na uwezo wanapewa nafasi kwa misingi ya udini, makabila na urafiki. Amesema hiyo inamyima...
Nimesikitika sana kwa tanzania tv station itv,star tv,tbc kwa kushindwa kutuonesha haya mashindano makubwa ya euro 2012.kweli ni aibu kubwa kwa vituo vyetu hata kwa kushirikiana mmeshindwa...
Dear friends
Leo nimeona ni vyema nika-share nanyi kisa hiki cha kutekwa mfanyakazi
mwenzetu ambaye ni cashier siku ya jumatano jioni wiki iliyopita.
Ni kama movie lakini ni ukweli, cashier wetu...
Padre wa kanisa katoliki baptiste Mapunda amekishauri chama cha mapinduzi kuanza kujiandaa kuondoka madarakani kwa kushindwa kuboresha maisha ya watanzania ambayo yanazidi kuwa magumu.Padre huyo...
Jamani kwa wenzangu na mimi wenye magari please be alerted that kuna utapeli mpya umeibuka jijini. Ni kisa cha kweli kwamba kuna jamaa alitoa lifti kwa askari wakapiga stori fresh na jamaa...
Tumevamiwa, walinzi wakutwa hoi wamelala, computer, na vitunzia kumbukumbu vya rasilimali watu wa Tanzania vya yeya je huu ni ujasusi au ni wizi wa kawaida?? Usalama wa taifa jumlisheni vizuri...
Tangu saa mbili usiku gari semi trailer kutoka Kongo lililokuwa limepaki baada ya kuishia mafuta, ghafla lilirudi nyuma bila dereva kisha likajikata kona na kuandika saba.
Hali hiyo imesababisha...
Leo hii katika kuperuzi katika hii mitandao yetu ya kijamii, nimekutana na Picha ya second lady (Mama Pinda) akiwa na mtoto wao (Albino) anayeitwa George Bush. Natoa pongezi kwa Familia ya Mh...
huwa najiuliza sana kuna haja gani bomba la kusafirisha gesi kutoka mtwara lijengwe mpaka dar na kutumia gharama kubwa na kutengeneza hatar nyingi. kwann kinachokuja kufanyika dar kisifanyikie...
Baada JK kumrithi Mr. Safi , hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, hasa ubande wa upatikanaji wa fedha. Katika kipindi alichoongoza Mr. Safi palikuwepo mianya mingi ya kupata pesa kwa njia yoyote ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.