Migomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAKA A TAIFA, Jun 25, 2012.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Migomo yote huwa ni kutafuta haki inayofichwa,kandamizwa,cheleweshwa,potezwa.ni njia kubwa kuonyesha walio wengi urahisi wa kutafuta na kufichua haki,kwa harakaharaka wengi wanaweza kufikiria mengi ingawa ukweli watanzania wengi wanaumia kwa haya yatokanayo na migomo.lakini ndio mtaji wa kudai haki,hata weusi wa marekani walipata haki kwa kupoteza uhai,tusiogope kudai na kutetea maslahi ya umma
   
 2. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Serikali inawayawaya ati marufuku migomo, ila yenyewe inawagomea wafanyakazi wake kuwapa haki zao. Nimefurahi kwamba siku hizi mikutano sio lazima iwe chini ya mti au kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Facebook inatoa uwanja wa bure kabisa wa mikutano na hadi kufikia resolution. Ubabe wa serikali wala haudumu. Inakula kwao. Nimeshangaa kusikia madaktari wa ng'ombe wanalipwa karibia twice as much as madaktari wa watu, lakini daktari wa watu anayefanya postmotem analipwa mara tano ya call allowance ya kumhudumia mgonjwa. Tanzania mwisho sana. Halafu ati Waziri mkuu anaitetea kabisa.
   
Loading...