Ni sawa Salma Kikwete kutumia kin'gora

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Nipo katika mkutano na nimeshangaa kuona akija na msafara wa king'ora na magari ya serikali, ni sawa hii? Nawasilisha
 
Nipo katika mkutano na nimeshangaa kuona akija na msafara wa king'ora na magari ya serikali, ni sawa hii? Nawasilisha
Ni sawa kwani yeye ana cheo na analipwa mshahara as"FIRST LADY"hivyo king'ora kwake ni haki!!
 
Ni sawa kwani yeye ana cheo na analipwa mshahara as"FIRST LADY"hivyo king'ora kwake ni haki!!
Kuwa First Lady sio cheo ni tittle. Hata mkeo nyumbani kwako ni first lady. Hakuna mshahara wowote anaolipwa First Lady.
 
Kimsingi hana haki hiyo.Wanampa ulimbukeni tu.Uzunguni mke wa Rais hana tofauti& wake za watu wengine.Ni mama wa nymbn.
 
Kwan kaka yake si rais jakaya mrisho kikwete anapigiwa kin'gora?kma wanampika kaka m2,pia dada yke wacha wampigie.
 
Liacheni lijidai na hizo sifa za kijinga karibia wanatuachia ikulu yetu labda itapata mtu!
 
tusishangae tukiona hadi mwanaasha nae anatembea na ving'ora..... Chezea mr dhaifu wewe
 
Mchumba ni sawa kulipwa per diem, kulipiwa walinzi na hausigeli kwa fedha za walipa kodi?
 
Kwenye bajeti ya Ikulu, (State House) kuna fungu la first lady. Hata nchi za nje zin fanya hivyo hivyo
 
1. Mimi nimeona eti hata Wafungwa wanapo toka Segerea wanapigiwa Ving'ora.
2. Na Wagonjwa wanapo waishwa Hospitali eti na wao wanapigiwa Ving'ora.

3. Sasa kwa Mke wa Rais kupigiwa King'ora sioni kosa lolote lile. Hata Yanga wakati fulani wa Gulamali wapigiwa King'ora.
 
Back
Top Bottom