Mh, J J MNYIKA AWEKA UKWELI KATIKA GROUP LAKE FACEBOOK. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh, J J MNYIKA AWEKA UKWELI KATIKA GROUP LAKE FACEBOOK.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurzweil, Jun 24, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Options

  [h=6]John Mnyika
  [/h][h=6]Niliahidi kuandika kwa kina juu ya "Udhaifu" niliousema Bungeni 19 Juni, 2012.Nimeandika waraka; "Ukweli ni Uhuru"

  “ Makosa yetu mengine hutokana na woga; woga unaotuzuia kumlaumu mkubwa japo tunajua kuwa kakosa, au kumtetea mdogo anayelaumiwa na wakubwa japo tunajua kuwa hana makosa......... Woga huu huweza ukamfanya mtu kuvumilia maovu, hasa kama maovu yale yanatendwa na walio wengi kwa walio wachache, au yanatendwa na wakubwa kwa wadogo. Kwa kuogopa kuwaudhi wengi tunawaacha watende makosa bila kuwasahihisha, wasije wakatuchukia. Huu ni ubinafsi mbaya sana."-Mwl. Julius Kambarage Nyerere, TUJISAHIHISHE.

  Masuala muhimu ndani;
  1. Bajeti 2012/2013
  2. Mpango wa Maendeleo ya Taifa
  3. Kanuni za Kudumu za Bunge
  4. Bunge
  5. Rais
  6. Mchakato wa Katiba Mpya
  7. Uwajibikaji wa Viongozi
  8. Wosia wa Baba wa Taifa, Mwl.Julius K. Nyerere
  9. Jimbo la Ubungo
  10. Mustakabali wa Taifa letu

  Niliamini,naamini na nitaendelea kuamini kwamba kutamka neno ‘Udhaifu wa Rais’ sio kumtukana Rais na wala sio kulitumia jina la Rais kwa dhihaka.

  Soma kwa kina waraka wangu hapa: JOHN MNYIKA: Waraka wa kwanza mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- "Ukweli ni Uhuru"

  [/h]
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Mnyika, dont be afraid! Time shall reveal everything
   
 3. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Mmoja alinitumia ujumbe kuwa Mnyika hana adabu angekuwa babake angemwambia vile.Nikamjibu kama mzazi wako naye ni dhaifu na ni mwoga ni lazima kumwambia ukweli ukimwachia hata jirekebisha.Hapo Mnyika yuko sahihi na bado naamini yupo sahihi.
   
 4. mzalendokweli

  mzalendokweli JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Natazama ATN sasa hv mch Fernandes anasema tatizo haliez tatuliwa na mawazo yale yale yaliolitengeneza.
  Viongoz vijana tusikubali kurithi mawazo yaliotengenezea matatizo Tanzania..;mawazo ya woga ambao unatokana na ushkaji,kujipendekeza nk tusiyakubali for our country's sake.
   
 5. j

  jigoku JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kweli waraka umeshiba taarifa muhimu kwa wananchi na bahati nzuri ameendelea kusisitiza ya kuwa JK ni dhaifu na bunge lenye wabunge wengi kutoka chama cha magamba nalo ni dhaifu.

  Tuko pamoja mh Mnyika,endelea kupigania ukombozi wa taifa hili,endela kuwa fit mentally kama unavyotuthibitishia bungeni na uendelee kuwa physically fit kama tulivyotembea kwa mguu kuanzia mahakama kuu mpaka Kimara kwenye ofisi za jimbo la Ubungo.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  CCM imetufundisha uongo, eti wakubwa hawaendi haja kubwa.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  Kikwete ni rais ambaye wafanyabiashara wahalifu wanajitetea kuwa ni wabia wake mara wakamatwapo. Naye rais amekuwa kimya, akishindwa kuwakemea, je huo kama sio udhaifu ni nini?
   
 8. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  Basi kwa ufupi ni dhaifu tu!
   
 9. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kijana hana kosa lolote, alisema ukweli. Na yeye hakuwa wa kwanza kumsema
  kikwete kwamba ni raisi dhaifu kuliko wote waliopita Tanzania, wengi walishamsema hivyo na hasa hapa JF.

  Tiba
   
 10. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mnyika jasiri kama Godbless Lema.
  safi sana..............
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mnyika bado anafikiri Watanzania wote ni wajinga?

  Wewe Mnyika, wadanganye haohao malimbukeni wenzako mliozowea kudanganyana, hapo hata useme nini, itakunyeeshea tu. Na utakuja kusema vizuri baadae au watakuja kukusemea, tuliwaona wengi kushinda wewe na sasa wameufyata, mfano mdogo tu; Zitto, Mrema, Cheyo, hao huwapati hata 2% kwa uelewa wao na uzoefu wa bungeni, siasa na uongozi, lakini walipojijuwa wanamakosa wamekuwa wepesi kuomba msamaha na kukubali yaishe (hata juzi Zitto kaonesha mfano, baada ya kugutukiwa kuwa aanadanganya kwa kusoma bajeti isiyokidhi utaalaam wa bajeti, akaomba radhi haraka sana) na walipoona kuna njia sahihi za kufikisha ujumbe bila kutukana wala kukejeli na kudhihaki mtu, sasa hivi wanaleta hoja zao kiumahiri kabisa na wanafanikisha mambo yao. Usifikiri kuwa unaweza kutetea ujinga wako kwa wenye uelewa.

  "Mimi ndio Rais wenu"-Jakaya Mrisho Kikwete
   
 12. C

  Chikwakara Senior Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina mengi mno ya kusema lakini itoshe kusema kaka yangu mnyiki ulikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Hata hao magamba wanatambua na kuyatukuza maneno yako, na mimi pia nasisitiza rais wetu dhaifu sana na kwa bahati mbaya uelewa huu tunao sisi tulioelewa dhuleni na si walioenda shule kama anonym wa kwanza. Ccm inavurugika ,serikali haijui nini cha kufanya kuwasaidia wananchi wake waondokane na maisha magum, wazembe na wala rushwa wanaongezeka. Sababu ya yoyte haya hata makada wa ccm wenyewe wanajua ni udhaifu wa rais kikwete lakini mfumo mbovu wa katiba yetu na ile ya ccm unaompa mamlaka ya hovyo j.k ndo umetufikisha hapa. Leo hii ccm ni genge la wachumia tumbo na viongozi chekacheka hata ktk mazingira magum tunayopia. Shame on you anony wa kwanza
   
 13. C

  Chikwakara Senior Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina mengi mno ya kusema lakini itoshe kusema kaka yangu mnyika ulikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Hata hao magamba wanatambua na kuyatukuza maneno yako, na mimi pia nasisitiza rais wetu ni dhaifu sana na kwa bahati mbaya uelewa huu tunao sisi tulioelewa shuleni na si walioenda shule kama anonym wa kwanza. Ccm inavurugika ,serikali haijui nini cha kufanya kuwasaidia wananchi wake waondokane na maisha magum, wazembe na wala rushwa wanaongezeka. Sababu ya yote haya hata makada wa ccm wenyewe wanajua ni udhaifu wa rais kikwete lakini mfumo mbovu wa katiba yetu na ile ya ccm unaompa mamlaka ya hovyo j.k ndo umetufikisha hapa. Leo hii ccm ni genge la wachumia tumbo na viongozi chekacheka hata ktk mazingira magum tunayopia. Shame on you anony, wa kwanza
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Tatizo la ccm wote ni wanafiki, kwahiyo hawapendi kuona mtu jasiri kama Mnyika anasema ukweli; Kikwete ansingekuwa dhaifu vijana wetu wengi wasingehalibika kwa kutumia madawa ya kulevya kwani anayo list ya wauza madawa hayo wakubwa lakini udhaifu wake umesababisha hawa wahalifu watambe nchini!!
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Mnyika we ni noma- ukweli ni uhuru.
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  "Mnyika bado anafikiri Watanzania wote ni wajinga?"

  zomba hiyo hapo juu ni quote yako. ina ukweli tatizo ni kwamba hujajua jinsi ya kuitumia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. S

  SIR JAPHET Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba yanatoka na kulundikana ardhini,hivi karibuni yataoza na tutayazika pamoja na nyie wadanganya wadanganyika.msg sent!
   
 18. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nchi hii ni yawatanzania wote...lakini ccm na viongozi wengi wa serikali wameipeleka hapa tulipo...uchumi uko chini,mpaka madawa na mahospital shida tu,walimu na shule ndio kichefuchefu...HATUTAKI MANENO tunataka vitendo!!
   
 19. S

  SIR JAPHET Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 20. S

  SIR JAPHET Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba @work!hatudanganyiki!
   
Loading...