Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania tumesherekea miaka 50 ya uhuru mwaka jana,Rwanda wamesherehekea mwaka huu.kwa taarifa serikali ya Rwanda kupitia shirika lake la usafiri wa anga wanandege 18 wakati sisi vikogwe waTZ...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Daktari huyo bingwa mwenye umri wa miaka 52 aliwaambia polisi kuwa alichukua uamuzi wa kuukata mdomo wa mke wake mwenye umri wa miaka 32 kwakuwa mke wake huyo alikuwa aking'ang'ania kudai talaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tutaacha kuweka pesa uswiss? Nani kakwambia tanzania maskini bana maskini wewe unaekimbizana na jua la aSbh mpaka jioni wenzio wanaita usiku wewe unahangaika na maisha....nimesoma sehemu matumizi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The additional airport Tax of Usd 10 will be collected by DESTINATION ZONE LIMITED at the airport from all departing passengers effective from 1st Jul 2012, due to the increase of airport taxes...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wpendwa naona kuna watu wameanza kuandika rip ulimboka kwenye websites yoyote anaejua kinachoendelea naona tumeanza kutishana tukiwa hai naomba msaada wenu tafadhali
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Tume ya ushindani wa kibiashara nchini imekamata matairi ambayo yanadhaniwa kuwa ni fake kwenye soko la tanzania,matairi hayo ya pikipiki yamekamatwa Dar es Salaam tu,,,,,,, sosi:jamboleo wadau...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ntawezaje kupata mkopo kwa ajili ya biashara. Ntawezaje kupata?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
YULE MDUDU RUSHWA ATIKISA ELIMU : Wachapishaji wa vitabu nchini Tanzania Oxford University Press walitoa RUSHWA kwa watendaji wa serikali ili kupata tenda ya kusambaza vitabu nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1.maji 2.elimu 3.afya 4.kilimo 5.hali ya umaskini Kwa heshima nianze na salamu kwa wazee wangu wote ndani ya jimbo.pamoja na vijana wenzangu mnaoweza kujitokeza kupiga kura ya kuamua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKATI ikielezwa kwamba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk Steven Ulimboka anatibiwa Afrika Kusini, kuna taarifa kwamba amelazwa katika hospitali moja ya huko Ujerumani.Habari zilizolifikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkutano mkubwa TGNP mabibo leo kuhusu mgomo wa madaktari na mustakabali wa afya za watanzania utafanyika leo saa 9 alasiri hadi saa 11 jioni. MADAKTARI OTE WANAALIKWA KUHUDHURIA. MADA: MGOMO...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
waumini wa mikocheni B assy of GOD mnajua k new palm tree resort ni Mchungaji G rwakatale? iko pale bagamoyo. au anatekeleza ile kauli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, leo wakati wa Kipindi cha Patapata kinachorushwa na Wapo Radio kuanzia saa 1:15 asubuhi nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akiwataarifu wananchi kuwa huduma za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inavyofahamika ni kuwa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya huteuliwa na Rais hii ina maana kuwa ni makada wa chama tawala na kama jibu ndio hilo hata mishahara yao ilitakiwa walipwe na chama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mshikamano ndani ya chama ni muhimu, Migogoro mwiko. Matatizo yamalizwe ndani ya chama na pale mtu yeyote anakwenda kinyume na malengo na katiba ya chama muondoeni bila kujali hadhi yake. Hakuna...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Huyu hapa: Dr. Ulimboka akizungumza na MMM dakika chache baada ya kutekwa na mateso - YouTube
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wa kwanza ni wanasiasa wanaoingilia Mahakama kufikia maamuzi.Wa pili ni Taasisi ya Sheria kwa Vitendo almaarufu kama Law School of Tanzania.Hawa wanafanya kila liwezekanalo kuzuia ongezeko la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeisoma hii habari kwa masikitiko makubwa sana. Hawa wanaoishi Arumeru wafanye kila njia ya kuwasaka na kuwakamata waliofanya ukatili huu, soma zaidi: Home
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Napenda kutoa angalizo kwa muhusika wizarani (katibu mkuu au yeyote yule), vyuo vilivyopo chini ya wizara hii vina madudu mengi haswa katika maswala ya mishahara. Chunguza!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maandamano ya amani kesho utune clouds, bbc,RFA na Aljazeera watakuwepo. Haijawahi tokea kwenye historia ya hii nchi mwanzo wa mwisho
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom