Picha hisani ya Michuzi blog
Licha ya mabomu na vitisho vya serikali, waandamaji Zanzibar wangali ngangari kudai maoni yao kuhusu serikali ya Muungano. Haki ya wananchi si kitu cha kuporwa...
Jana ktk taarifa ya habari ya usiku saa mbili ITV chombo ambacho nilikuwa naimani nacho kuwa ni huru na habari zake ziko balance lkn jana kimetoa habari kua huduma ktk hosptali ya muhimbili...
Na Mwandishi Wetu, Songea
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Ruvuma leo tarehe 4/7/2012 majira ya saa nane kinatarajia kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Soko...
Watanzania ambao wako katika mlengo wangu napendekeza kama Mungu atamjalia Ulimboka akarudi salama basi ianzishwe Dr. Ulimboka foundation ambayo yeye atafanya kazi hapo na iwe inahusika kusaidia...
ALHAMISI wiki iliyopita, Mbunge wa Viti maalum (CCM) Martha Mlata alitaka kauli ya serikali kutoka kwa kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu madai ya kuwapo watu wanaochochea mgomo huo kwa...
Huku nikiwa ninaumwa,natafakari madr waliogoma na badae nawakumbuka madr walionitibu utotoni. Nilipowa-google, nimekuta wako nje ya nch. Orodha yao ni:
1. Dr katende kashaija 2.. Dr kempanju...
Ni kauli ya mwenyekiti wa bunge kama alivyonukuliwa kwenye link attached!
Eng Stella Manyanya na lawama kwa madaktari kusababisha vifo - YouTube
My take:
Hawa wenyeviti wanapatikanaje?
Ivi hayo...
:loco:Nchi haiendi hii ndugu zangu tutaaibika,wasomi tunao,wanasiasa tunao ,viongozi tunao.Tutulie tuangalia namna ya kuiokoa nchi hii hatujachelewa.Tunapoteza muda mwingi kupiga kelele,najua wote...
Wandugu hili nimeuliza baada ya kuona vikiuzwa kwenye stationary moja hapa A.town. Ila niliwahi kusikia waziri wa mambo ya ndani akisema vitatolewa BURE. Naomba jibu.
Wadau hizi taarifa nimezisikia hivi punge kupitia kituo cha radio cha CAPITAL, mwenye access ya habari hizi atujuze tafadhari.
My take: Kama ni kweli, big up, hadi serikali DHAIFU, inayoongozwa...
Imenilazimu leo kutembelea hospitali hizi kubwa nchini na kujionea hali ya mambo ilivyo,
Nasikitika na kustaajabu ya Musa (serikali) kuona inaendesha propagana kuwa mgomo umekwisha ilihali hali...
Nimekuwa nafatilia sakata la kutekwa kwa Dr. Limboka, lakini jambo moja linalonishangaza ni kutozungumzia lolote kuhusu alipo Dr. Deo aliyetajwa kuwa pamoja na Dr. Limboka wakati anatekwa...
Dugu zangu wana jamii forum mimi nimzalendo wa kweli kwenye hii nchi yangu ya tanzania lakini kinachonisikitisha nijinsi magamba wanavyojitetea kwamba ni wasafi ilihali wapo ndani ya shimo la...
Imekuwa ni desturi yetu kujipendekeza kwa boss hata mahali ambapo hapastahili.Sishangai leo hii bunge letu kusahau majukumu yake ya kuisimamia serikali na kuishauri na kugeuka mtetezi wa serikali...
Oxford University Press, the global academic publishing department of the Oxford University, has been ordered to pay nearly £1.9m after two subsidiary companies bribed government officials for...
Wananchi wengi, wametokea kuwa wafuatiliaji wa hoja za wabunge. Mara nyingi spika, au mwenyekiti amekuwa akitumia nguvu sana kulinda chama fulani na kuonyesha kama vyama vingine havina mchango kwa...
Ndugu zangu, Kweli madai yenu ni ya msingi sana na waunga mkono kwa hili, Hata Mh Rais wa jamhuri anajua sisi wananchi wa chini tuko pamoja nanyi. Tunalaani kitendo cha kupigwa na kuumizwa daktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.