New palm tree resort bagamoyo ni mchungaji rwakatale na bia inauza

rugumye

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
561
178
waumini wa mikocheni B assy of GOD mnajua k new palm tree resort ni Mchungaji G rwakatale? iko pale bagamoyo. au anatekeleza ile kauli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu?
 
mwekezaji wa ndani..kkwan kanisa au mchungaji haruhusiwi kuwekeza katika eneo hilo. thanks kwa taarifa ili tukifika Bagamoyo tupate sehemu murua yakupumzika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom