MAADUI wengine wa HAKI ni hawa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAADUI wengine wa HAKI ni hawa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 5, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Wa kwanza ni wanasiasa wanaoingilia Mahakama kufikia maamuzi.Wa pili ni Taasisi ya Sheria kwa Vitendo almaarufu kama Law School of Tanzania.Hawa wanafanya kila liwezekanalo kuzuia ongezeko la Mawakili. Natoa mfano: wanafunzi wa Kohoti ya Tisa ya Law School walimaliza mitihani yao tarehe 2/3/2012. Hadi leo,wanafunzi hawa wapatao 200 hawajapata matokeo yao.Miezi minne?!
  Ufaulu nao ndio usiseme!

  Ifahamike kuwa, kwasasa Mhitimu wa Shahada ya Sheria hawezi kuwa Wakili (mtetezi wa Haki) hadi apitie na kufaulu Law School. Kucheleweshwa matokeo ni kuchelewesha haki ya Wanasheria kuwa Mawakili. Law School iyatoe basi matokeo ili kuwafanya watahiniwa kujua kinachoendelea. Wakati ni sasa...


   
Loading...