Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moto mkali unawaka hivi sasa katika yadi ya malori makubwa eneo la sokota jirani na kituo cha mafuta cha Camel Oil kama unaelekea Serenget Breweries...hakuna fire& rescue wananchi wanahangaika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kufahama kulala kwenye hizi hotel bei zake ni sh ngapi.....maana nimeona ziko ktk mikoa mingi na ni nzuri. Shukrani.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau nimetembelea site ya bunge na kukuta profile ya mwanasheria mkuu wa serikali jaji fredriki mwita werema kuwa ametokana na chama cha mapinduzi kupitia ex officio type of membership. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa ktk haya maeneo ya starehe kwa mfano ktk mabaa, grocery, hotel nk. kupiga muziki kwa sauti kubwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wanaozunguka maeneo hayo. Wakati wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jaman mi nimeupenda ukoo wa Jkilaza, natamani kwenye katiba mpya tugeuke nchi ya kifalme, Riz awe crown Prince, we unatamani nini kwenye Katiba mpya?
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Assalaam alykum
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Kwa walioajiriwa chini ya ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa waliokuwa wametuma maombi ya uhamisho majibu yametoka leo.Tumia tovuti hii: www.pmoralg.go.tz Kama ka kimeo kako...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Hivi mnajiona sawa.Mpaka tv inayoendeshwa kwa kodi zetu tuilipie? Eti airtime ikiisha wanakata mpaka TBC1.Kwahiyo nayenyewe tuite chanel ya kulipia.Hii yenu ni TEKNOBANIA.Mnaboa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau ingieni star tv mummwone mzee wa kazi nchemba yupo na machali. Wanajadili nidhamu ya bunge na utawala bora.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Refer the heading.Binafsi nafarijika sana kuwa miongoni mwa wa Tz wanaotoka kwenye chama cha upinzani tz. Sijui we mwenzangu unasemaje?
2 Reactions
60 Replies
5K Views
Wana jf yeyote mwenye mabadiliko hayo tafadhali ayatoe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mimi naona umma ushirikishwe baada ya kuagiza matabibu kutoka nje tuagize pia wanasiasa hasa toka iran au uchina wanakonyonga mafisadi
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Nimetinga ndani ya Jiji la Mwanza a.k.a Rocky City, ila kuna jambo limenitisha sana! hapa mwanza bwana jamaa wanatisha kwa "KUTEMA MATE" daaaaaaaaaah.. wanatema mate na m****i haooooooooo! so...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Alikua anawaaga watoto wake bungen,c mwingne ni ANNA MAKINDA,baada ya kupitisha bajet ya ujenz.Amewasii wa2lie wasiwasumbue kaka na dada zao,yaan naibu na mwenye viti.Mpaka atakapo rudi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutokana na kuvuma kwa tetesi, toka kwa mashirika ya ifadhi za jamii Nss na Ppf kutoa mafao ya wafanyakazi wa mashirika binafsi na makampuni, ambayo kwa sasa yatafanyika hadi mfanyakazi atakapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
waumini wa mikocheni B assy of GOD mnajua k new palm tree resort ni Mchungaji G rwakatale? iko pale bagamoyo. au anatekeleza ile kauli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu?
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kutokana na kuvuma kwa tetesi, toka kwa mashirika ya ifadhi za jamii Nss na Ppf kutoa mafao ya wafanyakazi wa mashirika binafsi na makampuni, ambayo kwa sasa yatafanyika hadi mfanyakazi atakapo...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Ni kuwa nimeshuhudia waandikaji wa NIDA hawaruhusiwi kugonga milango ya wakaazi wa maghorofani huko Mjini kati a.k.a Posta. Wanachafanyiawa ni kuletewa photocopy za vijulisho kama vile birth...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
watanzania tunajulikana ulimwenguni kwa kuongea sana bila vitendo lakini likifika suala la kutumia kiingereza kama lugha ya mawasilianao mambo huwa magumu...nakumbuka kunawabunge washawahi kupata...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wamepita hapa Tazara na defender zaidi ya sita na lile la maji ya kuwasha, wenye taarifa tujuzane kwani naona kamekuwa kamtindo nchini mwetu!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom