Matumizi ya rwanda miaka 50 million 400;matumizi ya tanzania billion 27 tutaacha kuweka pesa uswiss?

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Tutaacha kuweka pesa uswiss?
Nani kakwambia tanzania maskini bana maskini wewe unaekimbizana na jua la aSbh mpaka jioni wenzio wanaita usiku wewe unahangaika na maisha....nimesoma sehemu matumizi ya rwanda wakati wa kuazimisha miaka 50 mwili umesisimka na kuona kwenye gazeti waziri wa kikwete akisema wametumia billion 27 kusherehekea miaka 50

mwanga wa milele atuangazie bwana
 
acha tu sa nyingine m2 unaweza pata laana kwa kujiuliza ilikuwajekuwaje ukawa mtanzania dah,
 
Idadi ya watu Rwanda hawazidi millioni 4 Tanzania ni zaidi ya milioni 40.
 
Tupe na takwimu za idadi ya watu, ukubwa wa eneo. Katika hizo ngapi wametumia kuuwana wenyewe?

Tukitandika barabara za Tanzania nchini Rwanda basi tutaifunika yote kusibaki hata eneo la kulima! - Magufuli.
 
Idadi ya watu Rwanda hawazidi millioni 4 Tanzania ni zaidi ya milioni 40.

Rwanda wapo mil 11 wametumia 400milion
tanzania tupo 45m tumetumia 27b
mkuu milinganyo unaifahamu?

11m = 400m
45m = x (27,000m)
mkuu hata bam haujasoma??
kwa idadi ya watu tulionao ilitakiwa tutumie tsh 1,638m
kwa kufuata mlinganyo wa Rwanda ila sisi badala yake tumetumia 25,362m zaidi yao.
hata kama hawazidi watu 4m bado
4m = 400m
45m = 27,000
kwa hapa ilitakiwa tutumie 4,500m
ni zaidi ya million 22,500 ya rwanda.
NIMEONA TUWE TUNAKUMBUSHANA HESABU WATZ WENGI HUWA TUNAZIKIMBIA!
 
Tupe na takwimu za idadi ya watu, ukubwa wa eneo. Katika hizo ngapi wametumia kuuwana wenyewe?
Tukitandika barabara za Tanzania nchini Rwanda basi tutaifunika yote kusibaki hata eneo la kulima! - Magufuli.
Hivi na wewe ulienda shule kutoa ujinga?Miundo mbinu ya Tanzania bado ipo chini sana...achana na kauli za kijinga.Tanzania is still one of the least urbanized countries in Africa...unajua maana yake in terms of infrastructure?
 
Tutaacha kuweka pesa uswiss?
Nani kakwambia tanzania maskini bana maskini wewe unaekimbizana na jua la aSbh mpaka jioni wenzio wanaita usiku wewe unahangaika na maisha....nimesoma sehemu matumizi ya rwanda wakati wa kuazimisha miaka 50 mwili umesisimka na kuona kwenye gazeti waziri wa kikwete akisema wametumia billion 27 kusherehekea miaka 50

mwanga wa milele atuangazie bwana[/QUOTE]
Na furaha ya milele utupe eeh bwana.
 
Air Rwanda ina ndege 18, sisi moja tu Tumeambiwa tule nyasi, ikiongezwa ya pili je?:wacko:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom