Wadau nisaidieni nataka kujua jambo hili

PCZZO

Member
Jul 4, 2012
11
0
Inavyofahamika ni kuwa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya huteuliwa na Rais hii ina maana kuwa ni makada wa chama tawala na kama jibu ndio hilo hata mishahara yao ilitakiwa walipwe na chama tawala.Hivi karibuni nimesikia kuwa wakuu hawa mishahara yao hulipwa na serikali na kama jibu ndio basi kwanini wasingechaguliwa na wananchi katika uchaguzi mkuu badala ya kuteuliwa na Rais.Ukweli ni kuwa sifahamu kwa undani juu ya jambo hili naomba kujua zaidi

PCZZO
 
Wanalipwa kwa kigezo kwamba, wanatumikia Watanzania; kwani Watanzania ndio walikipa chama tawala mamlaka. Toa maoni ili haina hii ya uongozi iondolewe kwenye katiba ijayo.
 
Na je wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya hawawezi toka chama pinzani???
 
Back
Top Bottom