Kesho Ubungo mataa saa tatu asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho Ubungo mataa saa tatu asubuhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Jul 3, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maandamano ya amani kesho utune clouds, bbc,RFA na Aljazeera watakuwepo. Haijawahi tokea kwenye historia ya hii nchi mwanzo wa mwisho
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hizi taarifa zenu nusu-na-robo zinaboa! Mnapenda kubembelezwa eeh? ****!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  yanahusu nini?yataishia wapi?jee polisi wataruhusu? najua waislam hawaitaji ruhusa,hawaogopi kufa wala mabomu
   
 4. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mhhhh vip lakini wazee wa interejensia wametoa kibali.kama hawajatoa sema mapema watu tujiandae.liwalo na liwe
   
 5. G

  GRILL Senior Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari za kichochezi hizi. Kuandamana kwa kipindi hiki NO hata yangekuwa maandamano ya kidini hakuna wa kuyaruhusu na hakuna mwenye kupenda mema atakayeunga mkono
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Amani ya nini? Ni Kuomba amani au kuenzi au nini? Wanaohusika ni nani?
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  etiiii?
   
 8. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Maandamano ya nini..? yana lengo gani?? Ubungo mataa saa ngapi?? kuelekea wapi??? watu mnakurupuka hata kuchamba hamchambi mnatuandikia *****..ningekua mod mngejuta kuzaliwa..mppssxxyy
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Tanzania hakuna polisi usijali mabomu wewe songa mbele!!
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Yatakuwa na kibano cha kufa mtu
   
 11. M

  Mkojo Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi kweli wa leo wa kesho!
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  he he he anders batta mzima wewe?? mbona jazba mdogo wangu? mom hajambo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mwanaharakativitu tiririka basi usiwe kama gamba
   
 14. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hakuna njia isipokuwa ile ulonayo
   
 15. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hata kama utatufafanulia vizuri, inabidi tupate taarifa ya kiitelijensia kuwa Al Shabaab na Janjaweed hawatakuwepo.
   
 16. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  cacio, mi mzima!! mods walinipa likizo kwa wiki moja!! mom mzima aixee nashkuru mungu! mzima wewe?? naona swahiba kakurupuka na pombe za jumanne anatuandikia maandamano af hasomeki!
   
 17. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Details tafadhali
   
 18. paty

  paty JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  mzee wa intelijensia feki ameyakubali ???? ni maandamano ya UAMSHO ??
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Atakuwa amesikiliza "yo heeeeeead!" na Sud Brauni!
   
 20. w

  wakuziba Senior Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mambo yakiendelea hivi, sisi wengine tutaihama jamii forums! thread zisizokua na mashiko zinaandikwa kama......... wote tutaonekana wajinga. lengo la jamii forums nadhani ni kutufanya tutumie ubongo kuchambua matatizo yanayotukabili hapa nchini na tufanyeje kuyatatua...
   
Loading...