Mkutano mkubwa wa ndani wa madaktari

mangifera

Member
Oct 15, 2011
47
34
Mkutano mkubwa TGNP mabibo leo kuhusu mgomo wa madaktari na mustakabali wa afya za watanzania utafanyika leo saa 9 alasiri hadi saa 11 jioni.

MADAKTARI OTE WANAALIKWA KUHUDHURIA.

MADA: MGOMO WA MADAKTARI; KIINI CHAKE NINI?
WATOA MADA: MADAKTARI, TGNP, TAMWA, LHRC, THRD, SIKIKA. HII ITAFANYIKIA TGNP MABIBO.
 
tupashane habari wakuu ili tujue mstakabali wa wagonjwa wetu.
 
Hapo sawa na wananchi wataamka kujua kinachoendelea baina ya madaktari na serikali
 
Maadam bunge limewatelekeza watanzania inabidi sasa vikundi vya kutetea haki vichukuwe hilo jukumu la kunusu nchi. Kwanini tunawapalipa wabunge na sio hawa wanaharakati?
 
Maadam bunge limewatelekeza watanzania inabidi sasa vikundi vya kutetea haki vichukuwe hilo jukumu la kunusu nchi. Kwanini tunawapalipa wabunge na sio hawa wanaharakati?

Hiyo nimeipenda ili wananchi ili wajue ukweli.Hotuba ya ilijaa vijembe kwa madaktari.Nawaomba madaktari wafunguke vilivyo na vyombo vya habari viwepo ila TBCCCM msiwalike wanapotosha taifa hili
 
Hiyo nimeipenda ili wananchi ili wajue ukweli.Hotuba ya ilijaa vijembe kwa madaktari.Nawaomba madaktari wafunguke vilivyo na vyombo vya habari viwepo ila TBCCCM msiwalike wanapotosha taifa hili

Madaktari wanatakiwa wafanye kitu kimoja ambaco nadhani wamekiruka: Wanatakiwa waeleze kwa lugha rahisi kabisa matatizo wanayokumbana nayo kazini, ukosefu wa vifaa, umuhimu wa vifaa wanayohitaji, vifo vinavyotokana na ukosefu wa huduma stahiki, masaa wanayokaa kazini na pia jinsi wangonjwa wanavyo lala chini na madhara yake.

Na kama wakiweza waorodheshe hospitali kuu yaani Muhimbili, hospitali za mikoa na wilaya na vifaa tiba vilivyomo/vinavyokosekana, na pale inapobidi waweke gharama (minimum) ambazo zinatakiwa kuboresha. Ni vema wajaribu kujibu propaganda kwa kueleza hali halisi ilivyo na mazingira magumu wanayokabiliana nayo, na wasisahau kukumbusha vifo vitokanavyo na ukosefu wa vifaa tiba.
 
profesheno wanapoamua kusimamia jambo lao, wanasiasa wanabakiaga kutafuta mchawi..! mpaka leo hii nchi haijijui kama kuna tiba ama lah..!
 
Hata hivyo jitahidini kuachana na hii mikutano yenu ya hadhara,
kwani hamsomi nyakati tu.
 
Maadam bunge limewatelekeza watanzania inabidi sasa vikundi vya kutetea haki vichukuwe hilo jukumu la kunusu nchi. Kwanini tunawapalipa wabunge na sio hawa wanaharakati?

wabunge wa upinzani wanataka sana kuiongelea hii issue lakini wabunge wa ccm wakiongozwa na spika wao hawataki
 
mwenzenu kang'olewa meno mnakaa kupiga stori haya endeleeni zamu yenu iko karibu sana
 
Hadi saizi mi sjauelewa msimamo wa madaktari,. Sjui wameogopa kauli ya vitisho la liwalo na liwe au msimamo ni mmoja,. Fanyeni jambo la kueleweka ili tujue moja ili jambo hili lisiwe la kuliongelea kila siku.
 
ila naskitikia wananchi waliofikwa na maafa na wengine kupoteza maisha wakati madoctor walipokuwa kwenye mgomo inasikitisha sana,upo kwenye mgomo usiku unaruka club unapasua moja baridi,mshahara kwenye account yako unaingia,lakini anaekuwezesha kwa kulipa kodi inayotokana na juhudi zake anakufa hospitali kwa kukosa huduma!
 
Back
Top Bottom