Akiulizwa juu ya hatari za uchimbaji uranium, Waziri wa Maliasili na Utalii ametoa tamko kwamba, "Labda niseme kwamba, kama kuna mtu ambaye anaweza kunipa ushahidi wa madhara yaliyoletwa na...
Mwananchi ukurasa wa tatu/5jul
naona kuna taarifa za wizi wa pesa za wateja doller 9000 na nyinginine 12,000 nyingine 13,000
sipendi kusema wala kulalamika sana ila ni nyie wenyewe...
Ni wazi kwamba tunapotoka majumbani na kwenda kujitafutia riziki, au tukiwa na matatizo mbai mbali, tunapitia sehemu nyingi na tunasaidiwa na wengi. Tukipanda dala dala hatuuizi dereva ni dini...
Niko hapa DSTV main office Dar es Salaam niko kwenye foleni kwa zaidi ya masaa mawili huku mbele yangu kuna wateja wanne tu wote tukihitaji huduma ya kulipia malipo ya mwezi kwa packages...
Jana jioni nilikuwa nafatilia idhaa ya kiswahili ya bbc wakiongelea mchango wa mabenki katika kuinua maisha ya mtu wa kawaida. Binafsi nilichokipata kwenye majadiliano hayo yaliyohusisha...
Ndugu wanaJF, kwenye kipindi cha Usiku wa Habari kinachorushwa na TBC1 kuanzia saa 5 usiku, kuna mfanyabishara mmoja Kariakoo (leo Julai 4) alikuwa akidai amenunua maji feki (yanayo fanana na yale...
Nimekuwa nikiangalia shoo nyingi za wanamuziki za First world na kulinganisha na shoo zetu hapa TZ na Africa kwa ujumla.
Kitu nilichogundua ni kwamba katika shoo za 'mbele' wanawake huwa wengi...
Leo saa tatu asubuhi kupitia redio CLOUDS amesikika Dr. Deo akielezea tukio la kutekwa kwa rafiki yake, Dr. ULIMBOKA.
Kwa mujibu wa maelezo ya DR. Deo ni dhahiri kabisa kwamba takribani muda...
Tumesikia na kuona kwenye vyombo vya habari na hususani katika taarifa ya habari ya saa 2 ya ITV kuwa madaktari wamerudi kazini na kuonyeshwa picha wakiwa kazini. Tungependa kujua kutoka kwa...
Baba yetu uliye mbinguni asante kwa kunipatia uzima na afya asante kwa kunipatia kibari cha kufanya maombi haya! Nakushukuru kwakuwa wewe wanipenda sana pia unaipenda nchi yetu ya tanzania mungu...
Narudi zangu gheto namkuta mama mwenye nyumba analia kwa uchungu.Nilipomhoji kulikoni,akanijibu,"nilikuwa nataka kukagua madaftari ya huyu binti yangu wa darasa la saba,nikakutana na pakti za...
kariakoo ndo sehemu maalufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soki kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa...
Ndugu wana Jf natumai hamjambo!Leo nipo Dodoma kwa ajili ya mualiko nilioupata pamoja na wenzangu kuja bungeni dodoma,safari yetu imeanzia Iringa majira ya saa mbili asubuhi kwa usafiri wa basi la...
nko mbal kdgo na vyombo vya habar,kutokan na shughul kdogo tu za kimaisha..ninaomba kujuzwa juu ya hl swala na shule zipi haswa ndio zitaanza? Kwa kuwa ninaskia kwa juu juu tu naombwa kujuzwa kwa...
Mzee mwendapandi anayeishi kijiji cha balasi la ng'ombe kata ya halungu wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya amekutwa amekufa jana kwa kifo cha kusikitisha,tukio hilo ambalo ni la aina yake lilianza muda...
Ninafanya biashara ya mkaa,,ninaleseni nimekwama kifedha,,nilipata hasara ,,nahitaji kama 1.3,kama kuna anaejua mahali au mtu anaekopesha kwa riba anisaidie ,,
Heshima mbele wakuu
kuna habari mbaya kabisa hapa Botswana,serikali ya nchii hii imeamua kusimamisha kutoa ARV bure kwa raia zake,yaani inasikitisha mno kwa sababu serikali imesema wazi imezidiwa...
mimi nawakubali sana chadema kwa sababu mara nyingi wanakuwa na hoja zenye mashiko. lakini hili la Mnyika alivyomtuhumu mwingulu nchemba kuhusika katika kashfa ya epa atakuwa na uthibitisho?
Mfanyabishara fisadi aneibia seriakali milioni mia tatu (300,000,000) tra kila mwezi aliyeifirisi wizara ya afya kwa kuuza nguo za madaktari za kiwango cha chini kwa gharama kubwa ya bilioni tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.