Kwa ujinga huu hata matumizi ya chenji yetu ya radar(bae) tuandike maumivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa ujinga huu hata matumizi ya chenji yetu ya radar(bae) tuandike maumivu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KengeWaKijani, Jul 5, 2012.

 1. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YULE MDUDU RUSHWA
  ATIKISA ELIMU :


  Wachapishaji wa vitabu nchini Tanzania Oxford
  University Press walitoa RUSHWA kwa watendaji wa serikali ili kupata
  tenda ya kusambaza vitabu
  nchini.

  Kutokana na siri hyo kufchuka Benki ya Dunia
  imeamua kutofanya nao shughuli kwa
  miaka 3 kutokana na hilo.

  Mdau
  wa Elimu unalizungumziaje
  jambo hili na madhara yake
  katika elimu?

  #Cortsey of HAKIELIMU
   
 2. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Leta data na source.
   
 3. s

  saita Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nachukia sana kusikia watu wakisema chenji ya rada badala ya kusema fungu la ufisadi wa rada kwa manufaa ya historia kwa vizazi vijavyo. nakataa coz we were not conscious on this money, we get it after good voice and loving voice of chadema that made BAE to investigate the matter and found illegality that make us have what the hypocrites call change ya rada.
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Source: :: IPPMEDIA then go to bussiness news and you will see the heading "WB Sanctions Oxford University Press Over `graft` In Education Projects In Tanzania"
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Fedha yenyewe ni kwa hisani ya UK maana Tz mpaka leo watuhumiwa wanapeta!
  Kuonesha kuwa hamnazo izo fedha za hisani nazo mnazifuja!
  Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa
   
Loading...