Any newas about ulimboka jamani;tunaona r.i.p's zimeanza kwenye facebook pls tujulishane

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Wpendwa naona kuna watu wameanza kuandika rip
ulimboka kwenye websites yoyote anaejua kinachoendelea naona tumeanza kutishana tukiwa hai
naomba msaada wenu tafadhali
 
Fb wamejaa watoto wasiojua maana na thamani ya uhai wa mtu na jinsi kutangaza habari za hivi kunavoathiri bongo zetu!
 
Nimesikia reporter wa BBC (Mtasa) kutoka South Africa alimtembelea jana lakini ndugu zake walimkataza kuongea nae.
 
Chama Cha Mabwepande = CCM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
aiseee kama tumefikia kuwa wauji kiasi hicho basi sioni hatari kusema janjaweed wameshiriki kumuumiza Ulimboka
shame shame shame kwa kweli thank pk NILIPATA HAJA KUBWA YA GAFULA BAADA YA SIKU TATU ZA MAWAZO TENA BILA KULA HATA PAPAI NIKASEMA NIMUULIZE MUNGU NINI TENA KINAENDELEA JAMANI
 
Jamani msikilize BBC jioni labda watarudia, tulio sikia asubuhi mwandishi yule amesema yuko ICU south africa. ndugu zake walikuwa wakali kumwona mwandishi na walimkataza kufanya mahojiano. ni ameripoti kuwa kumwona ni ngumu sana.
 
Na wewe ndo mnafiki uyatoe ya real pipo uyalete kwenye avotor kama sio unatafuta attention ninini? Mode mpigeni Ban huyu asicheze na uhai wa mtu hapa
 
Wpendwa naona kuna watu wameanza kuandika rip
ulimboka kwenye websites yoyote anaejua kinachoendelea naona tumeanza kutishana tukiwa hai
naomba msaada wenu tafadhali

mpwa P didy i know this is JF and not spelling test but unaposema -
" ny newas about ulimboka jamani;tunaona r.i.p's zimeanza kwenye facebook pls tujulishane"

unamaansha nini..?
 
Nimesaka update mkuu hakuna taarifa zozote hao wa fb usiwaamini labda twiter but nako hakuna jipya
 
Na Jitu kubwa zima kama William Malecela nalo nasikia liliandika kwenye wall yake ila sasa hivi ameidelete hiyo habari, nimemuacha na watoto wanamsuta huko Facebook.
 
Mmasahau hata Mwakyembe alisingiziwa kifo? Binadamu wamekuwa wabaya sana,huna uhakika unasemaje R.I.P?
 
Na Jitu kubwa zima kama William Malecela nalo nasikia liliandika kwenye wall yake ila sasa hivi ameidelete hiyo habari, nimemuacha na watoto wanamsuta huko Facebook.

Amefurahi kwa kuwa anajua kazi waliyoianza pengine wametimiza, unajua kuna taarifa moja aliandika kuwa eti bado wao CCM wana jembe hapo Muhimbili anatakayehakikisha mgomo unasimama. Kwa mwenye uwezo mzuri wa kunoa ubongo, akiipima kauli hiyo atagundua kuwa CCM wana mkono wao katika sakata la kupigwa Dk. Uli.
Na hii propaganda wanajaribu kuipandikiza vichwani mwetu ili pengine waimalizie kazi walioianza nasi tusitambue tukiamini matibabu yameshindikana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom