Mkopo kwa ajili ya biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkopo kwa ajili ya biashara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Albermovich, Jul 3, 2012.

 1. A

  Albermovich New Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntawezaje kupata mkopo kwa ajili ya biashara. Ntawezaje kupata?
   
 2. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,798
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kama hiyo biashara umeisha ianzisha tayali, piga namba hii utapata maelekezo 0755 980350.

  Sina uhakika kama hao jamaa wanatoa mkopo kwa kuanzisha biashara.

  Mie naendesha biashara yangu kwa mikopo yao, wanahitaji kutembelea biashara ili wakupe huo mkopo.

  Kila la kheri!
   
 3. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,974
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Jamani na mmi nahitaji kuendeleza biashara yangu na nahitaji milioni na laki mbili
   
Loading...