Sauti Ya Mwanakijiji.......kwa ambao hamuijui | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sauti Ya Mwanakijiji.......kwa ambao hamuijui

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safari_ni_Safari, Jul 5, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
 2. client3

  client3 JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 739
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Curiosity that will never kill a cat!!
   
 4. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,214
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Katika watu ambao hawajui wanaongea nini ni mwanakijiji. Yeye yuko michigani, unaanza kumchambua pinda kwenye magazeti na articles. And they are most vague article of all time.
   
 5. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  bongo bana mtu kapigwa badala ya kutoa huduma ya kwanza wanakimbilia kumrekodi ili iweje sasa,???
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,729
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Una uhakika yuko michigan? Chezea hengine weye!!
   
 7. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,166
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Lete Article zako tuzione mkuuu. Kuwa Michigani au Bongo si Ishu siku hizi. Kwani wewe upo Dodoma? Mbona unajua habari zote za Bunge???. Una mawazo ya kijima sana katika dunia hii ya Utandawazi.
   
 8. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,634
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli bado ni mjima, kuna wakati liliungua soko la mbuyuni moshi-mimi nilikuwepo hapo mjini lakini taarifa za kwanza nilipata toka UK!!! Hivyo kwa Teknolojia ya sasa huitaji kuwepo Kibada kujua embe ndio kwao!!
   
Loading...