Kwa Siku Mbili Au Zaidi Daladala za mji wa Moshi zimegoma kufanya kazi ya kusafirisha watu.
Sababu yao kubwa ni Ushuru mkubwa wanaotozwa kila waingizapo magari Stand kubwa. Mfano daladala...
Watanzania kwa mara nyingine tena kwa uwingi wa makampuni ya simu Tanzania , wizi wote walio tufanyia hadi sasa wanazidi kutuibia .Mimi kuanzia July 1 nimegundua kwamba gharama ziko juu kiasi...
kisa ni ratiba ya garimoshi kutokueleweka. ilikuwa ikijulikana kabla kuwa garimoshi lla 'ordinary' lingepita jana jumapili, jioni saa 1, lakini wamekesha hapo na hakuna garimoshi. wanaambiwa eti...
Wakuu nisaidieni nimetumiwa sms kutoka crdb wamenipa pin namba ambayo nitaitumia kuangalia bank statement lakini sielewi naiweka wapi kwenye simu au mpaka kwenye atm?
Kwa muda mrefu, kuna boti za abiria zinazotoka Zanzibar/Unguja saa 1 jioni na kufika Dar saa 12 Asubuhi. Hii ni kwa sababu kwa sheria za usafiri wa majini, boti ya abiria hairuhusiwi kufika aidha...
Dar Es salaam ni mji ambao kwanza haujapangika,hakuna miundo mbinu na madhaifu mengine mengi. Kwa taarifa za NIDA wametenga tareh 22 Jun had 21 July kuwa ni siku za kuhakiki watu na makazi kwa...
kwa mujibu wa kiongozi wa MAT, Dr Namala Mkopi anahitajika central police kwa kosa la kukiuka amri ya mahakama.
haya hapa chini ni sehemu ya maneno yake...
Just be Informed; Nimeitwa Central...
Ni muda mrefu niliskia kuwa Vengu amepelekwa India kutibiwa lakini mpaka sasa hakuna habari za kumhusu Kulikon? Mbona Masanja alichangisha pesa kwa Msanii mwingine lakini habari za Vengu kimya?
Nimeshtuka na kushangazwa mno na ripoti ya BBC asubuhi ikiripoti mlipuko wa kipindupindu nchini cuba ambapo watu 3 wamepoteza maisha., mara ya mwisho kuripotiwa kesi ya kipindupindu ilikuwa mwaka...
Wadau niliomba kazi NHIF kama COMPLIANCE AND FIELD OPERATION OFFICER III, kuna tetes kwamba wameshaita watu kwenye usaili. naomba kama kuna mwenye kujua zaid tafadhali aniweke wazi juu ya tetesi...
Nimepita katika Petrol Station ya Kyaka kuweka mafuta ktk pikipiki yangu nikielekea Bukoba. Nimekuta petrol station imefungwa na kuambiwa mmiliki wake Mkuu wa zamani wa chuo cha Polisi Senior...
Ikiwa kwa Miaka mingi, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, inategemea makusanyo ya Ushuru wa kodi za Sigara na Vinywaji (hasa Pombe) Katika kuendesha Shughuli zake (Kama tulivyoshuhudia...
Ndugu zangu wana JF,
Tangu asubuhi ya leo hakuna usafiri wa kutoka Moshi kwenda Arusha wala kutoka Arusha kwenda Moshi. Hii inatokana na mgomo mkali kuwahi kuonekana ambao ulianza leo saa 11:00...
Mughonile wanajamvi wenzangu.
Mimi kama mkazi wa Mkoa wa Mbeya natoa pongezi zangu za dhati kwa Dr.Kimei na CRDB Bank kwa mchango wao wa zaidi ya Shillingi millioni 65 kusaidia ujenzi wa Chuo...
Sunday, July 8, 2012SAKATA LA WATUMISHI WASIO NA SIFA JIJI LA MBEYA KUPANDISHWA VYEO LASABABISHA MAKUBWA
SAKATA la baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kupandishwa vyeo pasipokuwa...
Serikali ina mpango wa kuhamisha mzani wa agari toka kibaha kwenda vigwaza ikiwa ni sehemu ya kupunguza foleni, sidhani kama hili ni suruhisho la foleni.
Wakuu,
tumekusanya taarifa zote zinazomhusu huyu mtoto,
naomba kwa heshima kabisa Jf member ambao mnaaminika kama source nzuri ya taarifa kuacha kumjadili huyu kijana kwa kuwa hadhi yake ni ndogo...
Kwa mtu mwenye consistence check katika habari za ITV kuanzia taarifa ya saa mbili jumapili usiku waliikaushia taarifa ya TISS kuhusishwa na kuwawinda kimauwaji viongozi wa chadema.leo jumatatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.