sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Wakuu nisaidieni nimetumiwa sms kutoka crdb wamenipa pin namba ambayo nitaitumia kuangalia bank statement lakini sielewi naiweka wapi kwenye simu au mpaka kwenye atm?
where do I punch that pin?Bank statement baadhi ya bank wanakutumie monthly statetements thru ur email, it's a pdf document and inorder to access it just punch the pin and u r gud to go