NIDA nao ni DHAIFU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIDA nao ni DHAIFU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jun 25, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dar Es salaam ni mji ambao kwanza haujapangika,hakuna miundo mbinu na madhaifu mengine mengi. Kwa taarifa za NIDA wametenga tareh 22 Jun had 21 July kuwa ni siku za kuhakiki watu na makazi kwa mkoa wa Dae Es salaam..wanahitaji Mtanzania awe na cheti cha kuzaliwa,au cha elimu yoyote au leseni au kitambulisho cha mpiga kura.
  maswali kwa NIDA
  i) Mtawezaje hakiki watu ziadi ya million 6 kwa siku 30? wakati walimu 3000 wanaishinda serikali kufanya uhakiki wao?
  ii) si kila mtanzania anatimiza masharti mliyo weka,Je mtamsaidiaaje


  BUSARA ITUMIKE SIO KUKURUPUKA NA MAAMUZI DHAIFU
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mimi ni mkazi wa Dar, lakini taarifa hizi sina. Hivi nilitakiwa kuzipata wapi. Poor me or Poor the system?! Halafu NiDa si wale wanaotoa vitambulisho! Hii ya kuhakiki watu na makazi ndo jukumu lao? Mbona naona kama vile hii ni kama sensa ya watu na makazi. Au wewe ndo umekosea kwenya hii taarifa?!
   
 3. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapana kaka Tangazo hilo lipo na kama unabisha tembelea ofisi za kata yako utaambiwa.....
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hya mkuu, Sijui nazijua zilipo!!!!!!! (nawaza). Ntulizia lakini
   
 5. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawahakiki vyeti wala watu, wanaorodhesha wakazi. Zoezi hili linafaanyika mtaa kwa mataa na kila kata ina watu wake. Kama huamini watu milioni 6 wanaweza kuchekiwa taarifa zao kwa mwezi mzima, unaamini vipi serikali itaweza kuhesabu sensa watu zaidi ya milioni 40 kwa siku 7?

  NIDA wameanza zoezi kwa kusuasua lkn nimeona progress nzuri mtaani. Wanashirikiana na serikali za mitaa kwa hiyo ondoa shaka.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  nakuunga mkono.

  Juzi nilienda kutembelea famikia yangu, tunaishi kitongoji kimoja ila ni mwendo kama dakika 20 -30 kwa miguu, nikakuta nida wameenda kuhakiki, kwanza nilishangaa, then nikawauliza walianza tokea lini? Wakanijibu toka tar 22.

  Nikawauliza kwa nini hamjafika niishipo, au washapita wakashindwa kunijibu. Nikawauliza inakuaje kwa wanaoshinda kwenye mihangaiko wamekisa majibu, mjumbe waliyekuja nae kajitetea kuwa mjumbe wanhu ndo anapaswa kutoa taarifa.....

  Ni wangapi hilo zoezi linawapita?
   
Loading...