Kuhusu usaili nhif | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu usaili nhif

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KANAN, Jul 9, 2012.

 1. K

  KANAN Senior Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wadau niliomba kazi NHIF kama COMPLIANCE AND FIELD OPERATION OFFICER III, kuna tetes kwamba wameshaita watu kwenye usaili. naomba kama kuna mwenye kujua zaid tafadhali aniweke wazi juu ya tetesi hizo.
   
 2. h

  hakiwapi New Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdau pale hata usihangaike mkurugenzi wao anaajiri watoto wa vigogo tu.
   
 3. K

  KANAN Senior Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mh.iiiiiii ngoja basi nirudi kulima.
   
 4. E

  E52 Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tuliomba wengi mazee....zile nafasi tayari zina wenyewe
   
Loading...