naomba updates za Vengu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba updates za Vengu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkisumuno, Jul 9, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni muda mrefu niliskia kuwa Vengu amepelekwa India kutibiwa lakini mpaka sasa hakuna habari za kumhusu Kulikon? Mbona Masanja alichangisha pesa kwa Msanii mwingine lakini habari za Vengu kimya?
   
 2. s

  salvatory mushi Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli ni vyema waka2pa habar zao c vengu2 hata sajuki
   
 3. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  na za Sajuki!!!!maana wengine tunaskia yupo kwa mganga wa kienyeji baada ya kutoka India!!!!
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wote wapo samunge last wik ndo wamefika wanapga vikombe
   
 5. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  what!!!!!!!!!
   
Loading...