Dawa ya foleni ni hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya foleni ni hii hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jodoki Kalimilo, Jul 8, 2012.

 1. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,061
  Trophy Points: 280
  Serikali ina mpango wa kuhamisha mzani wa agari toka kibaha kwenda vigwaza ikiwa ni sehemu ya kupunguza foleni, sidhani kama hili ni suruhisho la foleni.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umesahau kuwa mizani itayowekwa ni ya kisasa zaidi na gari haina haja ya kusimama na kungoja ili ipimwe, inapimwa huku ikiwa inakwenda kwa hiyo hapo hakuna foleni.

  Umesahau pia kuwa kuna 6 lane kutoka Dar Morogoro zipo kwenye matayarisho ya mwisho kuanza kujengwa.

  Halafu si "suruhisho" ni suluhisho.
   
 3. m

  mjanjamimi Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbona wabaguzi sana nyie, kunizuia nisicomment kwa baadhi ya habari maanake nini, robot we.
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Haahah,
  Unajua kuw ahii itakuw ani ya Kulipia? Mpo tayari kwa hilo?
   
 5. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,061
  Trophy Points: 280
  Zomba upo TANROAD nini mbona haya mambo unayafuatilia sana na data zake unazo, anyway vyanzo vyetu habari havijaenda kiundani kama ulivyoenda wewe, kama ni hivyo (according to maelezo yako) basi suala la foleni litakuwa limekwisha lakini kama style ya business as usual sidhani maana nilivyoona ile habari nilidhani wameamua kisiasa kwa kuangalia Kibaha ipo karibu na Dar hivyo zinapoanzia pale zinaathiri mpaka maeneo ya Mbezi, kama kuna ni mizani ya kisasa huchukui muda mrefu hapo sawa (nje ya point ila si wale jamaa wa mizani huwa namna gani katika kuchukua mlungula si watakuwa wanafanya magari yana delay ili wavute chao)
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hayo yote yalikuwepo kwenye hoja za Magufuli alipokuwa anahitimisha kujibu maswali ya bajeti yake bungeni, wala sifanyi kazi TANROADS na hansard yake ikishawawekwa kwenye tovuti ya bunge ntaibandika JF.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tutalipia asiyeweza atapita ile ya sasa. Usiwe na shaka. Mbona ferry tunalipia? na kuna wasoweza wanavuka na mitumbwi. Unajikuna unapofikia.
   
Loading...