Mwenyekiti wa MAT atakiwa kuripoti polisi

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
kwa mujibu wa kiongozi wa MAT, Dr Namala Mkopi anahitajika central police kwa kosa la kukiuka amri ya mahakama.
haya hapa chini ni sehemu ya maneno yake...
Just be Informed; Nimeitwa Central Police sababu kuna hati ya kukamatwa mimi Namala Mkopi kwa kosa la kuto tii amri ya mahakama.
Amri nilopewa inasema hivi;
MAT isiitishe mgomo na members wa MAT wasishiriki kwenye mgomo!

UPDATES:DR Namala amesharudi uraiani ingawa hajatoa details za mahojiano.

my Take;MAT ni chama cha kitaaluma na hakijawahi kuitisha wala kuratibu mgomo.
 
Mimi nadhani Atakuwa Jakaya na Pinda wameamurisha naye auawe ,Waliogoma ni Jumuiya ya Madaktari wanataka MAT ifanye nini wakati sio walioitisha mgoma,Namala be care ful hii serikali dhalimu wasije wakakulimboka bure wanasheria wako uwe nao kila wakati toeni taarifa kwenye vyombo vyote dini,Haki za binadamu,balozi na kwa wananchi,Nilimsikia yule zimbukuku, Salva akisema mgomo umeisha na wanasonga mbele sasa Namala wa nini a failed state is a failed state tungoje miujiza kujikwamua manake wananchi tumelala usingizi wa pono tukitegemea kuna wakurudisha nchi yetu mikononi mwetu
 
Hizi ni habari zilizotufikia hivi punde kuwakuwa Mahakama kuu division ya kazi imetoa kibali cha kukamatwa mara moja kwa Rais wa MAT Dr. Namala Mkopi. Na kwa sasa anaelekea Central Police Station Kujisalimisha. Kosa ni kuwa Hakutoa tangazo la kusitisha mgomo. (Ikumbukwe mgomo hakuuitisha yeye wala chama chake).
Na kesi nyingine iko mahakamani na itasikilizwa tarehe 24 mwezi huu.
Njia hizi finyu za kukabiliana na mgomo wa madaktari zitatufikisha walalahoi pabaya! Aliyofanyiwa Ulimboka hayakuwatosha?!!
 
Huu ni mwendelezo wa alichokisema mbowe jana.....mabo ya mabwepande part two.policcm dhaifu kweli
 
Waliowasilisha maombi mahakamani hawakujua nani ameitisha mgomo?
 
Mahakama za Tanzania ni chaka lingine la wala rushwa hakuna kitu pale..wala usitegemee kupata haki kama huna hela
 
Mbona unaanza kumtetea? Hayo unayoyaongea atakwenda kuyaeleza huko mahakamani. Wewe kazi yako ilikuwa kutuhabarisha kwamba mahakama imetoa amri akamatwe, finito.
 
Hizi ni habari zilizotufikia hivi punde kuwakuwa Mahakama kuu division ya kazi imetoa kibali cha kukamatwa mara moja kwa Rais wa MAT Dr. Namala Mkopi. Na kwa sasa anaelekea Central Police Station Kujisalimisha. Kosa ni kuwa Hakutoa tangazo la kusitisha mgomo. (Ikumbukwe mgomo hakuuitisha yeye wala chama chake).
Na kesi nyingine iko mahakamani na itasikilizwa tarehe 24 mwezi huu.
Njia hizi finyu za kukabiliana na mgomo wa madaktari zitatufikisha walalahoi pabaya! Aliyofanyiwa Ulimboka hayakuwatosha?!!
ni nani aliitisha mgomo???
 
Watalaaniwa wote wanaotumiwa kudhulumu haki; dola inatumia polisi usishangae ulimboka akaletwa kwa amri hiyo hiyo japokuwa walishajichukulia sheria mkononi(tiss na dola)
 
Back
Top Bottom