Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Namala Mkopi Just be Informed; Nimeitwa Central Police sababu kuna hati ya kukamatwa mimi Namala Mkopi kwa kosa la kuto tii amri ya mahakama. Amri nilopewa inasema hivi; MAT isiitishe mgomo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akiwa ndani ya Sabasaba na PPR na baada ya kuona bidhaa fulani inayovutia katika banda la maonyesho, hukosi kumsikia akinena, "……….utafikiri vinatoka ulaya…." au...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Haya wana JF nimefanikiwa kuiona katuni iliyo andaliwa na mchoraji mahiri sana (kipanya) ikanifurahisha sana, nikaona sina budi kushare na wana JF mtandaoni ili yapatikane maoni kidogo juu ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa kawaida ukienda udsm kuchukua transcript unatakiwa usubirie siku kumi na nne(14) za kazi ili uweze kuipata. Hata kama una ishu ya maana na inayohitaji transcript kwa haraka itakwama! Pamoja...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Mwenye taarifa ya maendeleo ya Vengu wa Original comed anipe maana ni muda mrefu niliposikia kapelekwa India kutibiwa hata Comedians kina Masanja wako kimya Kuna nini?Hata vyombo vya habari kimya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mtu anaesafiri sana kwa kutumia uwanja wa kimataifa wa dar es salam,hakika atakutwa na matatizo mengi kabla ya kupanda ndege,na hata wakati wa kurudi. hivi asali lita 3 zawadi mpaka ilipiwe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
It is horrible and sadening to see that some hawkers and peddlers selling these pornographic cds and dvds so freely with out fear. I have observed that it is now common to see such dvds along...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi karibuni nilifuatwa na madalali wa nyumba wakiambatana na dalali mwingine mwenye kampuni na 'offer' nono ajabu. Anachotakiwa mwenye nyumba afanye makubaliana ya awali na huyu dalali kabla...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Huwa nikikumbuka misemo ya mkulu wetu JK sometimes mbavu zinavunjikavunjika...hebu ona mwenyewe hii misemo yake...mhh... ...wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao!.....! ...ukitaka kula...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
TAARIFA KWA BARAZA LA WAWAKILISHI JUU YA USAJILI WA MELI ZA NJE ULIOFANYWA NA SMZ KUPITIA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARINI ZANZIBAR MARITIME AUTHORITY – ZMAMhe. Spika, Tarehe 27/06/2012 Vyombo vya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nampongeza sana bondia cheka kwa kuachana na pambano la j'mosi na kaseba.pambano hili lilikuwa nje ya utaratibu wa kawaida wa mchezo wa ngumi.na ikumbukwe cheka ni bingwa wa ngumi katika uzito...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila mwanasiasa machachari na sasa awe makini. Deo port jichunge watu wa ludewa wanakuhitaji. Be paranoid and more suspicious don't be vulnerable to culprit fisadis. Zitto na Halima be more...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Pray For Dr. Ulimboka"
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mambo ambayo yamepelekea madaktari kugoma yamejikita katika mfumo mzima wa utoaji huduma za afya katika nchi yetu. Mfumo wa afya unatakiwa kuwa na nguzo sita ( kwa kadri ya Shirika la Afya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TAKWIMU zilizokusanywa na kambi ya upinzani katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, zinazonyesha mauaji ya raia wasio na hatia wakiwa mikononi mwa polisi yameendelea kuongezeka. Matukio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kusoma si hoja mambo kwa kujuana jionee mwenyewe Your Story: Akida Chege - YouTube Chama Gongo la mboto DSM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Si wasikii kabisa na M4C,hatujaambiwa mafanikio ya ziara walizofanya,hawajasema kama ndo mwisho au..najua shughuli zilisimama wakati wa kifo cha mzee BOB MAKANI(R.I.P) Lakini mbona kimya mpaka leo?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
TAMKO LA PAMOJA LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI LEO TAREHE 07/07/2012, TRAVERTINE HOTEL, DAR ES SALAAM. (Viongozi hawa walitoa tamko baada ya kukaa na madaktari, wanaharakati na watu...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Tarehe 25/3/2011 Mfnayakazi wa kampuni ya tanzanite one Cpl Raphael Wisso alishambuliwa na majambazi akiwa kazini kwa BOMU la kutupwa na Mkono na kupoteza mkono na macho yake kama anavyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwalimu mmoja wa shule ya msingi digodigo jana alikatwakatwa mapanga akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake. Tukio hili limetokea jana majira ya saa 5 asubuhi ambapo mwalimu huyo wa kiume...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom