Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutokana na umuhimu wa tanesco kwa taifa hili, nawashauri wafuate mfumo wa makampuni ya simu kwa kuanzisha huduma ya kuongeza salio la luku kwa kurusha kwani itapunguza kero kwa wateja wenu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia -...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
TAKWIMU ZA UTOWAJI MAONI KUSINI UNGUJAWritten by Ahmed Omar Khamis // 10/07/2012 // Habari // No comments TAKWIMU ZA UTOLEWAJI MONI, TUME YA MABADILIKO YA KATIBAMKOA WA KUSINI UNGUJA S/N...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Kundi la majambazi wamevamia hoteli iitwayo Ikoma Bush Camp na kuwapora wageni wote mali zao then wakamuua mzungu mmoja na meneja wa hiyo lodge ambaye ni mtanzania, imetokea usiku wa kuamkia leo.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi ni kwa nini serikali au makampuni au watu wa kawaida huwa wanaandika TSH (Tanzanian shilling) pale wanapotaja bei ya kitu? Kwa nini wasiandike tu Sh bila T? kwani tupo Tanzania kuna haja gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku ya Ijumaa tarehe 13 Julai 2012 kuanzia saa 4:00 asubuhi (10.00 Hrs EAT) Taasisi ya Raia ya Haki za Kisiasa na Mwenendo wa Bunge (The Civil and Political Rights Watch) itatoa taarifa juu ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mon, Jul 9th, 2012 Tanzania | Dar es Salaam-based Tanzania Heart Institute (THI) properties were sold at a public auction yesterday following the High Court's (Land Division) order to recover...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
magwanda,mbona waoga ivyo wazee, maana ya makamanda ni nini? mnatakiwa muwe ngangari,sio kutishiwa kidogo tu ohh wanataka kutuua,makamanda awatakiwi kuogopa,ogopa vitisho bana,makamanda wa wapi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kutafakari nimegundua kikwete si dhaifu ila sisi watanzania Watanzania tunaporojo na wanafiki kwa mambo ya msingi. Ninamaanisha kilichotufanya tumchague Kikwete licha ya udhaifu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kipi Muhimu na serikali ingefanya awali!!.
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Hakuna kitu kizuri kama kujua sheria na haki zako watanzania wengi tumekuwa tunakimbilia kutoa rushwa ukijua ni soln ya matatizo.....,naomba wakuu wawachungulie hawa wahuni wa customs pale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na sintofaham iliyopo kuhusu nan anahusika na utekwaj wa Dr Ulimboka, huku asilimia kubwa ya wananch wakiamin vyombo vya serikal vinahusika, Je leo hii mi kama mwananch wa kawaida...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KILA mwaka Serikali imekuwa ikiongeza kodi kwenye vinywaji, hususan pombe ili kukidhi bajeti ya mapato na matumizi yake. Hali hiyo husababisha bei ya pombe kupanda karibu kila mwaka na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Juzi moyo wangu uliumia sana. Nilikutana na Mchungaji wa kanisa moja lililoko kitunda. Anatoka Kariakoo na vifaa vya muziki kwa ajili ya kanisa. Katika kuongea hili na lile nikapewa risti zao...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Miongoni mwa makosa makubwa sana aliyofanya Jakaya Kikwete katika urais wake ni kitendo cha kumruhusu Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kwenda mahakamani kutoa ushahidi. Mkapa alitoa ushahidi dhidi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiasi cha milioni 700 kimetengwa kwa ajili ya uhamisho wa wafanyakazi mwezi july ikiwa wanachama hatupati dawa tukienda hospitali. Mkurugenzi wao anahamisha wafanyakazi kila mwaka ili kuficha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF. Ktk pambano la wabunge ambao ni mashabiki wa timu za Simba na Yanga timu ya simba ilishinda 3-2. Miongoni mwa wachezaji wa yanga alikuwa mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je mtanzania mmenzangu umeshajiandikisha kupata kitambulisho cha taifa. usizembee kama ulivyozembea kupiga kura kisha sasa unalalamika tu. kumbuka kitambulisho cha taifa sio siasa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE ARUSHATaarifa nyingine zimeeleza zaidi kuwa serikali imekusudia kuihamisha barabara inayotoka mjini Arusha kwenda Babati, ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom